Baba mkwe kumbadilisha jina mtoto wangu

Baba mkwe kumbadilisha jina mtoto wangu

Vijana tutafute elaaa nasemaa tutafute elaa ungekua ushatoa mahari aya yote yasingetokeaa
 
Hivi mnawezaje kuwazalisha mabinti wa watu bila kuwaoa, hivi hamuoni kuwa mnawakosesha haki zao watoto wenu?

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Wengine mnakumbwa na hayo kwa kujitakia. Kuoa hujaoa Hugo binti , mtoto unaweza kukuta humuhudumii unaponda maisha tuu na hata mawasiliano umekata, hapo kinachofuata ni hicho! Hiyo ni RED ALERT unatakiwa uichukulie kwa makini.
Vijana wengi wanachukulia kuwa matunzo wa mtoto ni jambo kama LA hiari vile au lisilo na umuhimu kumbe ni LA umuhimu mkubwa hasa akiwa katika umri huo mdogo.
Peleka matunzo kwa kadiri ya kipato chako na utaona utakavyo heshimiwa na mambo kama hayo ya majina huwezi yaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napeleka mahitaji kadri ya uwezo.

Hata simu ilipopigwa kwa mama, ni muda si mrefu nimetoka kutuma pesa ya matumizi kwenye simu ya mchumba! Yaani hata lisaa halijaisha!
 
Wakuu za mida hii.

Nina mchumba wangu ambaye nilimtolea kishika uchumba, tulibahatika kupata mtoto wa kiume, alijifungulia nyumbani kwetu(Kazi zangu nafanya sehemu ambayo haikumruhusu kujifungulia kwangu) mtoto nikampa jina(la baba yangu mzazi), basi baada ya mwezi mmoja alikwenda kusalimia kwao.

Alipo kaa week mbili mchumba akapiga simu kwangu akasema baba yake anasema anahitaji kumbatiza mtoto siku ya pasaka, kwa jina lake(yaani jina la baba mkwe) na hiyo siku inabidi niwepo kanisani kwao, je ninasemaje? nikamwambia hapana mtoto anatakiwa afate mahali ninakosali mimi hivyo aache tu mtoto atakuja kuwekewa wakfu atakaporudi, maana tutarudi kumchukua binti na kumtolea mahari ili arudi kuendelea na malezi nyumbani kwetu, maana utaratibu wa dini yangu sio ya kule kwao binti akasema sawa.

Jioni ya leo hii baba mkwe kapiga simu kwa mama yangu akisema kwamba anambatiza mtoto pasaka hii, nilipigiwa simu na mama kuniuliza kama hicho kitu nimeambiwa, nikamwambia hapana, nilikataa na nilimueleza kuwa asifanye hivyo.

Nikamrudia binti kumuukiza imekuwaje maagizo niliyoyatoa yamepuuziwa, akaniambia kuwa baba yake amekataa amesema kuwa hawezi kukubali kwa sababu sijamtolea chochote binti yaani mahari, kwa hiyo maamuzi hayo ndio ya mwisho na nyumbani amepiga tu kutoa taarifa.

kwa sasa bado sijafanikisha kutoa mahari, bado naitafuta na nyumbani kwao niliwaeleza kuwa ninajipanga ili nimtolee binti chochote aje kwangu, hivyo nadhani hapo ndio weakness yangu ilipo.

Wakuu hii kitu imekaaje.

Mbona kama nachanganywa,

Ushauri wenu ni wa muhimu.
Watu wanashindwa kukupa ushauri fasaha sababu umechakachua/edit post zako zote za nyuma kutaka ushauri kuhusu huyo mkeo, usije jinyonga tu maana hadi kubadili contents za miaka miwili nyuma sio kitu kidogo,

Ushauri; usiwaze kuhusu majina ya kubatizwa maana hayana application popote labda mtoto awe padre, kikubwa jina lililo kwenye cheti cha kuzaliwa ndio jina la mtoto

Waache wampe jina na hata la ukoo kama wakitaka na hiyo mahari yao wewe fanyia ishu nyingine kikubwa uhai tu hayo mengine yatakuja taratibu mtoto utamuita vyovyote unavyotaka akiwa kwenye himaya yako

Sawa shukrani, post za nyuma hazina uhusiano wowote na hii.
 
Wakuu za mida hii.

Nina mchumba wangu ambaye nilimtolea kishika uchumba, tulibahatika kupata mtoto wa kiume, alijifungulia nyumbani kwetu(Kazi zangu nafanya sehemu ambayo haikumruhusu kujifungulia kwangu) mtoto nikampa jina(la baba yangu mzazi), basi baada ya mwezi mmoja alikwenda kusalimia kwao.

Alipo kaa week mbili mchumba akapiga simu kwangu akasema baba yake anasema anahitaji kumbatiza mtoto siku ya pasaka, kwa jina lake(yaani jina la baba mkwe) na hiyo siku inabidi niwepo kanisani kwao, je ninasemaje? nikamwambia hapana mtoto anatakiwa afate mahali ninakosali mimi hivyo aache tu mtoto atakuja kuwekewa wakfu atakaporudi, maana tutarudi kumchukua binti na kumtolea mahari ili arudi kuendelea na malezi nyumbani kwetu, maana utaratibu wa dini yangu sio ya kule kwao binti akasema sawa.

Jioni ya leo hii baba mkwe kapiga simu kwa mama yangu akisema kwamba anambatiza mtoto pasaka hii, nilipigiwa simu na mama kuniuliza kama hicho kitu nimeambiwa, nikamwambia hapana, nilikataa na nilimueleza kuwa asifanye hivyo.

Nikamrudia binti kumuukiza imekuwaje maagizo niliyoyatoa yamepuuziwa, akaniambia kuwa baba yake amekataa amesema kuwa hawezi kukubali kwa sababu sijamtolea chochote binti yaani mahari, kwa hiyo maamuzi hayo ndio ya mwisho na nyumbani amepiga tu kutoa taarifa.

kwa sasa bado sijafanikisha kutoa mahari, bado naitafuta na nyumbani kwao niliwaeleza kuwa ninajipanga ili nimtolee binti chochote aje kwangu, hivyo nadhani hapo ndio weakness yangu ilipo.

Wakuu hii kitu imekaaje.

Mbona kama nachanganywa,

Ushauri wenu ni wa muhimu.
Naomba majibu ya haya maswali.
1. Ni muda gani umekaa kimada na huyu binti?
2. Wakati wa ujauzito binti una uhakika kuwa aliupatia kwako?
3. Kuna ukaribu gani kati ya mchumba/kimada na baba yake mzazi?
4. Kuna shida gani mtoto kuitwa jina la baba wa kimada wako?
5. Una ukaribu gani kati yako na baba wa kimada wako?
6. Je mtoto kafanana na nani.

Ukijibu ama ukiacha kujibu ushauri wangu ni kuwa achana na huyo mwanamke na zoezi la kwenda kulipa mahari sitisha kabisa na hata siku ya ubatizo usitie timu na pia kata mawasiliano nao. Uenda baba wa kimada wako anamjua mtoto baba yake halisi. Haya mambo ya kugombea majina achana nayo wewe kaa cha cheti cha RITA kwa jina unalotaka kama mzazi wa mtoto angalizo ila kama una uhakika ni mtoto wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna shida Sana ukioa familia ambayo binti ni mtoto wa Kwanza wazee hawataki kbaisa vitimbwi Kama hivyo utakutana navyo Sana.

Cha msingi Mtume mzee wako na mshenga wakaongee na mzee wa binti. Maana tayari nyie ni Ndugu na undugu hauvunjiki Lisa ubatizo lakini suluhu ya pamoja.

Tumieni hekima na busara zaidi kuliko mihemko. Mungu awabariki
 
Naomba majibu ya haya maswali.
1. Ni muda gani umekaa kimada na huyu binti?
2. Wakati wa ujauzito binti una uhakika kuwa aliupatia kwako?
3. Kuna ukaribu gani kati ya mchumba/kimada na baba yake mzazi?
4. Kuna shida gani mtoto kuitwa jina la baba wa kimada wako?
5. Una ukaribu gani kati yako na baba wa kimada wako?
6. Je mtoto kafanana na nani.

Ukijibu ama ukiacha kujibu ushauri wangu ni kuwa achana na huyo mwanamke na zoezi la kwenda kulipa mahari sitisha kabisa na hata siku ya ubatizo usitie timu na pia kata mawasiliano nao. Uenda baba wa kimada wako anamjua mtoto baba yake halisi. Haya mambo ya kugombea majina achana nayo wewe kaa cha cheti cha RITA kwa jina unalotaka kama mzazi wa mtoto angalizo ila kama una uhakika ni mtoto wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Nimekaa naye mwaka mzima
2.Naamini aliupatia kwangu japo mwenye uhakika ni yeye.
3.Ukaribu wake na baba yake siufahamu unafikia wapi
4.Sina ukaribu na baba yake tofauti na ambavyo nilienda kujitambulisha.
 
1.Nimekaa naye mwaka mmoja ndipo akapata mimba.
2.Naamini aliupatia kwangu japo mwenye uhakika ni yeye.
3.Ukaribu wake na baba yake siufahamu unafikia wapi
4.Sina ukaribu na baba yake tofauti na ambavyo nilienda kujitambulisha.
5.hakuna shida ila ni ishara ya dharau, mimi nimeshatoa jina tena mtu mwingine anataka abadilishe
6.Mtoto kafanana na mimi
 
Back
Top Bottom