Baba mkwe kumbadilisha jina mtoto wangu

Baba mkwe kumbadilisha jina mtoto wangu

Hahahahah umenikumbusha prudence concept katika valuation of stock...kwenye ile IAS-2 kama sikosei

Huwa unaitumia kwa namna gani kwenye mpira?

Una kumbukumbu bado, IAS 2 ni kweli inahusu hizo mambo za inventory.

In simple language, prudence concept inashauri kwamba kama muhasibu, weka matarajio ya faida ndogo, ikitokea kubwa ni furaha, lakini ikitokea hiyo ndogo unakuwa umeshajipanga. Taking conservative apporach.

Same same kwenye mpira, weka matarajio ya kwamba ninaweza kufungwa au nitafungwa, ili ukifungwa usiwe na maumivu. Tofauti na kama ulijipanga kushinda halafu ukafungwa. ie usiende na matokeo yako mfukoni.
 
Muwage mnaangalia familia za kuoa au kuzaa ..simply baba mkwe hana utu manake usipolipa mahari hata mke utanyang’anywa!
 
Una kumbukumbu bado, IAS 2 ni kweli inahusu hizo mambo za inventory.

In simple language, prudence concept inashauri kwamba kama muhasibu, weka matarajio ya faida ndogo, ikitokea kubwa ni furaha, lakini ikitokea hiyo ndogo unakuwa umeshajipanga. Taking conservative apporach.

Same same kwenye mpira, weka matarajio ya kwamba ninaweza kufungwa au nitafungwa, ili ukifungwa usiwe na maumivu. Tofauti na kama ulijipanga kushinda halafu ukafungwa. ie usiende na matokeo yako mfukoni.
Unajua kueleza kinyamaaaaaa

Nimekuelewa Don Clericuzio
 
Wakuu za mida hii.

Nina mchumba wangu ambaye nilimtolea kishika uchumba, tulibahatika kupata mtoto wa kiume, alijifungulia nyumbani kwetu(Kazi zangu nafanya sehemu ambayo haikumruhusu kujifungulia kwangu) mtoto nikampa jina(la baba yangu mzazi), basi baada ya mwezi mmoja alikwenda kusalimia kwao.

Alipo kaa week mbili mchumba akapiga simu kwangu akasema baba yake anasema anahitaji kumbatiza mtoto siku ya pasaka, kwa jina lake(yaani jina la baba mkwe) na hiyo siku inabidi niwepo kanisani kwao, je ninasemaje? nikamwambia hapana mtoto anatakiwa afate mahali ninakosali mimi hivyo aache tu mtoto atakuja kuwekewa wakfu atakaporudi, maana tutarudi kumchukua binti na kumtolea mahari ili arudi kuendelea na malezi nyumbani kwetu, maana utaratibu wa dini yangu sio ya kule kwao binti akasema sawa.

Jioni ya leo hii baba mkwe kapiga simu kwa mama yangu akisema kwamba anambatiza mtoto pasaka hii, nilipigiwa simu na mama kuniuliza kama hicho kitu nimeambiwa, nikamwambia hapana, nilikataa na nilimueleza kuwa asifanye hivyo.

Nikamrudia binti kumuukiza imekuwaje maagizo niliyoyatoa yamepuuziwa, akaniambia kuwa baba yake amekataa amesema kuwa hawezi kukubali kwa sababu sijamtolea chochote binti yaani mahari, kwa hiyo maamuzi hayo ndio ya mwisho na nyumbani amepiga tu kutoa taarifa.

kwa sasa bado sijafanikisha kutoa mahari, bado naitafuta na nyumbani kwao niliwaeleza kuwa ninajipanga ili nimtolee binti chochote aje kwangu, hivyo nadhani hapo ndio weakness yangu ilipo.

Wakuu hii kitu imekaaje.

Mbona kama nachanganywa,

Ushauri wenu ni wa muhimu.
Sasa unazalisha vipi na hela tu ya mahari huna????? Tulia tu apo maamuzi yao ni ya mwisho maana si mkeo yule. Na wala si mchumba pia coz hujatoa mahari. Huna unachodai. Hata kimila huyo mtoto si wako
 
Iko wazi kama hujatoa mahari unataka uite jina la nini? in short wewe ni mjinga Fulani baba mkwe yuko sahihi sana, hawezi kuwa wako kabla ya kulipia matakwa ya kimila mkuu. Na angekubali huyo baba mkwe wako ningemuona bonge la fala hapa TZ, kwani yeye anajua mahari unatoa lini, kwani yuko kichwani kwako> ebooo

Wakuu za mida hii.

Nina mchumba wangu ambaye nilimtolea kishika uchumba, tulibahatika kupata mtoto wa kiume, alijifungulia nyumbani kwetu(Kazi zangu nafanya sehemu ambayo haikumruhusu kujifungulia kwangu) mtoto nikampa jina(la baba yangu mzazi), basi baada ya mwezi mmoja alikwenda kusalimia kwao.

Alipo kaa week mbili mchumba akapiga simu kwangu akasema baba yake anasema anahitaji kumbatiza mtoto siku ya pasaka, kwa jina lake(yaani jina la baba mkwe) na hiyo siku inabidi niwepo kanisani kwao, je ninasemaje? nikamwambia hapana mtoto anatakiwa afate mahali ninakosali mimi hivyo aache tu mtoto atakuja kuwekewa wakfu atakaporudi, maana tutarudi kumchukua binti na kumtolea mahari ili arudi kuendelea na malezi nyumbani kwetu, maana utaratibu wa dini yangu sio ya kule kwao binti akasema sawa.

Jioni ya leo hii baba mkwe kapiga simu kwa mama yangu akisema kwamba anambatiza mtoto pasaka hii, nilipigiwa simu na mama kuniuliza kama hicho kitu nimeambiwa, nikamwambia hapana, nilikataa na nilimueleza kuwa asifanye hivyo.

Nikamrudia binti kumuukiza imekuwaje maagizo niliyoyatoa yamepuuziwa, akaniambia kuwa baba yake amekataa amesema kuwa hawezi kukubali kwa sababu sijamtolea chochote binti yaani mahari, kwa hiyo maamuzi hayo ndio ya mwisho na nyumbani amepiga tu kutoa taarifa.

kwa sasa bado sijafanikisha kutoa mahari, bado naitafuta na nyumbani kwao niliwaeleza kuwa ninajipanga ili nimtolee binti chochote aje kwangu, hivyo nadhani hapo ndio weakness yangu ilipo.

Wakuu hii kitu imekaaje.

Mbona kama nachanganywa,

Ushauri wenu ni wa muhimu.
hujatoa
 
Mahari haina maana yoyote katika sheria za Tanzania. Mahari ni utaratibu wa kimila tu.

Mtoto ni wazazi, sio wa babu na bibi. Kwa hiyo huyo mtoto kama babu yake ndo alitunga mimba basi sawa ndo ampe jina.

Ila kikubwa ni ujue kuwa dini nazo hazina maana yoyote kisheria. Kwa hiyo msije mkagombana sana kwa jina la kanisani au sijui ubatizo. Jina la mtoto ni lile lililoko kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Majina mengine nje ya lile la kwenye cheti cha kuzaliwa ni a.k.a tu.
 
Back
Top Bottom