Baba mkwe anataka kunioa

Baba mkwe anataka kunioa

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,997
Wandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.

Ni muda sasa umepita tangu kuachana na mume wangu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo wa hapa na pale.

Wazazi wakatuita kusuluisha lakini baba mkwe akakomalia hataki kuona tukirudiana huku akitoa sababu ambazo hazina msingi wa maana, wazazi wangu kuona vile wakaamsha popo tukaondoka na mimi nikaelekea kwangu.

Sasa ni muda baba mkwe amekuwa akinilaghai anataka tuanzishe uhusiano na baadae ikiwezekana tuanze kuishi pamoja, mkewe alifariki katika ajali ya gari miaka 7 iliyopita.

Wanajamii hii kitu ndo kwanza naisikia kutoka kwa huyu Baba naona sio kawaida. Nikamshtaki kwenye ukoo au?
 
Back
Top Bottom