Baba mkwe amekataa mahari yangu

Baba mkwe amekataa mahari yangu

(Mwenzenu nimeoa ndoa ya kanisani, licha bado tunaishi tofauti. hapa nafatilia maswala ya huakika cheti cha ndoa.)

Hayo maneno kwa mabano na bado ananiambia sijaelewa

Thanks Quote

Sio kila mtu ni mwandishi mzuri mkuu. na jinsi nilivyoandika siwez elezea hatua kwa hatua. so nimefanya story iwe fupi tu ili lengo langu la kutakana kusema baba mkwe amekataa mahari yangu kwasababu mchango wangu kwa mwanae na familia ni mkubwa.

Hilo basi
 
Mkuu cwz kuelezea proccess zote hapa. niandika kwa kuchukua matukio.

Cheki cha ndoa ukipewa unapeleka serikali kukiweka kwenye system.

Nitakuja kukupa update baadae kuhusu chet baada ya kutolea kuna process zinahtaji kufanyika ili serikali itambue ndoa yako.
Hii labda ni mpya, Ina maana cheti changu hakitambulikani? Tumia Neno tofauti labda. Otherwise nakupongeza sana sana
 
Baada ya kuweka mizizi mizuri ukweni na kuwa na mahusiano mazuri na ukweni kwangu, niliamua nikatoe mahari baada ya miezi kadhaa kutoa posa, mshenga alimuuliza baba mkwe wajipanga vipi siku wakitaka kurudi hatua inayofuata.

Baba mkwe alisema nataka kuona hao wawili wana mahusiano mazuri.

Basi baada ya miezi kadhaa kupita ilibidi nitoe taarifa kwa mshenga kwamba nataka tukatoe mahari.

Taarifa ilimfkia baba mkwe na tulipanga siku ya kutoa mahari.

Ikiwa imesalia wiki moja kufika siku ya tukio, bibie alitangulia kwao ili kupokea wageni wake.

Ajabu baba mkwe aliomba kuongea na mimi, akanimbia anataka mimi niende kwanza kabla ya tukio.

Basi nilipohitikia wito wa baba mkwe, aliniuliza maswala mengi na tuliongea kama masaa 3 hivi na mchanganyiko wa story za huku na kule.

Baada ya maongezi, baba mkwe akasema sioni sababu za wewe kutoa mahari kikubwa ni kuzingatia hayo tuliongea na kumtanguliza Mungu.

Asema baba mkwe, naona kabisa ni jinsi gani mwenzio umemtunza na naona kabisa mabadiliko ya maisha kwa mwanangu, sikuwah kujua kama mwanangu ni mtu mwenye furaha hivi, siku hzi naona kabisa amechangamka tofauti na zamani.

Baada ya kurudi home,simu yangu moja kwa moja kwa mshenga kwamba ukweni hawataki mahari ila tutaenda kufamiana na maongezi zaidi lakini tusipeleke cent yeyote.

Mwenzenu nimeoa ndoa ya kanisani, licha bado tunaishi tofauti. hapa nafatilia maswala ya huakika cheti cha ndoa.
Kanisa gani hilo Mkuu ambalo cheti cha ndoa unakifuata baada ya ndoa?
 
We utakua unaombwa buku buku zisizokoma kama mvua, Mzee kawekeza hiyo ibaki uko uko utakua unamlipa taratibu na riba juu.
 
Una deni la kulipia changamoto za mzee afikapo uzeeni
 
Kwa Makabila mengine asiyetolewa mahari ni mtoto wa mwisho kuzaliwa!
 
Baada ya kuweka mizizi mizuri ukweni na kuwa na mahusiano mazuri na ukweni kwangu, niliamua nikatoe mahari baada ya miezi kadhaa kutoa posa, mshenga alimuuliza baba mkwe wajipanga vipi siku wakitaka kurudi hatua inayofuata.

Baba mkwe alisema nataka kuona hao wawili wana mahusiano mazuri.

Basi baada ya miezi kadhaa kupita ilibidi nitoe taarifa kwa mshenga kwamba nataka tukatoe mahari.

Taarifa ilimfkia baba mkwe na tulipanga siku ya kutoa mahari.

Ikiwa imesalia wiki moja kufika siku ya tukio, bibie alitangulia kwao ili kupokea wageni wake.

Ajabu baba mkwe aliomba kuongea na mimi, akanimbia anataka mimi niende kwanza kabla ya tukio.

Basi nilipohitikia wito wa baba mkwe, aliniuliza maswala mengi na tuliongea kama masaa 3 hivi na mchanganyiko wa story za huku na kule.

Baada ya maongezi, baba mkwe akasema sioni sababu za wewe kutoa mahari kikubwa ni kuzingatia hayo tuliongea na kumtanguliza Mungu.

Asema baba mkwe, naona kabisa ni jinsi gani mwenzio umemtunza na naona kabisa mabadiliko ya maisha kwa mwanangu, sikuwah kujua kama mwanangu ni mtu mwenye furaha hivi, siku hzi naona kabisa amechangamka tofauti na zamani.

Baada ya kurudi home,simu yangu moja kwa moja kwa mshenga kwamba ukweni hawataki mahari ila tutaenda kufamiana na maongezi zaidi lakini tusipeleke cent yeyote.

Mwenzenu nimeoa ndoa ya kanisani, licha bado tunaishi tofauti. hapa nafatilia maswala ya huakika cheti cha ndoa.
Kama ulimtoa mchango kwenye familia ya mke wako Kwa moyo wako wote na mlikuwa mmeshakubaliana swala la mahali wewe pamoja na mke wako na familia yake,KATOE MAHALI. Mwambie Baba mkwe ushatenga bajeti ya mahali na mahaili iko tayari.

Kama ulitoa mchango kwenye familia ya mke wako Kwa lengo badae usamehewe mahali,licha ya kuwa mke wako pamoja na familia yake mlikuwa mmeshakubaliana swala la kutoa mahali mpaka kiasi. ACHA KUTOA MAHALI.
 
Soma vizuri
 
Soma vizuri
Kumbuka!

Kama asingekuwa mke wako. Huo mchango sidhani kama ungeutoa kwenye familia yake.

Usiniambie nisome vizuri, ingali ushasema kwenye comment hauna unandishi mzuri.

Andika vizuri wewe kwanza. Nilicho comment ndicho nilicho soma.
 
Huyo baba mkwe ni kama mimi, nimeshapanga sitakuja kupokea mahari kwa mabinti zangu
Kuna wanaume hawafungi ndoa bila kutoa mahari. Mahari ni lazima kama unafahamu vizuri maana yake.
 
Mambo yakienda kombo watu wanadai mahari zao, na wengine wanakata mahari mkishindwana watoto wanakuwaa sio wako unawakosa.
 
Baada ya kuweka mizizi mizuri ukweni na kuwa na mahusiano mazuri na ukweni kwangu, niliamua nikatoe mahari baada ya miezi kadhaa kutoa posa, mshenga alimuuliza baba mkwe wajipanga vipi siku wakitaka kurudi hatua inayofuata.

Baba mkwe alisema nataka kuona hao wawili wana mahusiano mazuri.

Basi baada ya miezi kadhaa kupita ilibidi nitoe taarifa kwa mshenga kwamba nataka tukatoe mahari.

Taarifa ilimfkia baba mkwe na tulipanga siku ya kutoa mahari.

Ikiwa imesalia wiki moja kufika siku ya tukio, bibie alitangulia kwao ili kupokea wageni wake.

Ajabu baba mkwe aliomba kuongea na mimi, akanimbia anataka mimi niende kwanza kabla ya tukio.

Basi nilipohitikia wito wa baba mkwe, aliniuliza maswala mengi na tuliongea kama masaa 3 hivi na mchanganyiko wa story za huku na kule.

Baada ya maongezi, baba mkwe akasema sioni sababu za wewe kutoa mahari kikubwa ni kuzingatia hayo tuliongea na kumtanguliza Mungu.

Asema baba mkwe, naona kabisa ni jinsi gani mwenzio umemtunza na naona kabisa mabadiliko ya maisha kwa mwanangu, sikuwah kujua kama mwanangu ni mtu mwenye furaha hivi, siku hzi naona kabisa amechangamka tofauti na zamani.

Baada ya kurudi home,simu yangu moja kwa moja kwa mshenga kwamba ukweni hawataki mahari ila tutaenda kufamiana na maongezi zaidi lakini tusipeleke cent yeyote.

Mwenzenu nimeoa ndoa ya kanisani, licha bado tunaishi tofauti. hapa nafatilia maswala ya huakika cheti cha ndoa.

Tambiko hilo.
 
Back
Top Bottom