Baba mkwe amekataa mahari yangu

Baba mkwe amekataa mahari yangu

Mambo yakienda kombo watu wanadai mahari zao, na wengine wanakata mahari mkishindwana watoto wanakuwaa sio wako unawakosa.

Unavyoamini wewe si kila mtu ana amini hivyo.
 
Hii inatafsiri tofauti kwetu, kama hujutoa mahari kwa mkeo basi usipoke pia.Kama umetoa pia yakupasa kupokea.Alafu bint anakoolewa wakisikia baba yake amemtoa bure ujue watamuweka tabaka jingine kulingana na tafsiri yake.
Vyovyote watakavyo tafsiri waache watafsiri lkn mimi msimamo wangu ni huo sitopokea mahari. Kwanini nimuuze binti yangu wakati najua sio property? Ndoa ni muungano wa watu wanaokwenda kuanzisha familia na kushea huzuni na furaha, sasa iweje mmoja alipie?
 
Back
Top Bottom