Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Baba yetu alishatangulia mbele za haki. Baba wadogo walishafariki pia. Amebaki mama na baba mdogo.
Sasa baba mdogo badala ya kuwa mshauri mkuu kuhakikisha familia inabaki salama yeye anamsaidia mama kutuuza.
Baadhi ya kina kaka wamechachamaa lakini baba mdogo kaziba masikio. Ndugu kina mzee Joseph wamekemea lakini wanaonekana hohehahe tu.
Kilichobaki ni wana ukoo wote na kijiji kizima waungane kumkemea huyu baba mdogo na mama.