GE2025 Baba Levo asante kwa kushiriki. Kigoma mjini ni ya Zitto

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,252
Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa jimbo lina wenyewe.

Wenyewe hao kwanza ni wazoefu wa siasa. Wasomi. Hazina ya Taifa pia maana Bungeni pawapo na mijadala ya kitaifa na kimkakati, hoja zake huwa zina nafasi ya kufanya maamuzi.

Nakumbuka ulibananishwa na Kipotoshi na ulionyesha udhaifu mkubwa sana kuhusu uelewa wa masuala ya kibunge. Sasa kweli Samia amuache Zitto ambaye atakuwa msaada kwake mbeleni halafu akuchukue wewe mzee wa vibe? Hapana.

Asante kwa kushiriki. Ulitumika tu kumuweka benchi Kilumbe ili wenye jimbo warudi. Na amesharudi. Ushauri wangu kwako tu kwa sasa ni uwe na akiba ya maneno. Usimzodoe sana kaka yako from another father kwani baada ya October huwezi kujua kitatokea nini. Suala kwamba zilikuwa ni kampeni tu zile, sio kwa Zitto.

Hapo nimezungumzia upande mmoja tu nikiacha mengine yawe constant.
 
Sorry, Zito ni dalali hakuna ubishi. Lakini kwenye kauli za Leo anayetafutwa ni luhaga Mpina. Wanataka wamgombanishe na Zito na kuaminisha watanzania kwamba hata kiongozi mkuu wa Act ana muunga mkono Mama.
 
Lakini huoni kuwa pengine kuna uhusiano wa zitto na udalali.?
Na malipo yake ni kupewa ubunge?
Mama.haja tunza siri.
 
Mwanzo sikuelewa kwanini Baba levo kwamba ccm ndio hawapo serious kiasi hiki ila sasa ndio nimeelewa.
 
Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa jimbo lina wenyewe.

Wenyewe hao kwanza ni wazoefu wa siasa. Wasomi. Hazina ya Taifa pia maana Bungeni pawapo na mijadala ya kitaifa na kimkakati, hoja zake huwa zina nafasi ya kufanya maamuzi.

Nakumbuka ulibananishwa na Kipotoshi na ulionyesha udhaifu mkubwa sana kuhusu uelewa wa masuala ya kibunge. Sasa kweli Samia amuache Zitto ambaye atakuwa msaada kwake mbeleni halafu akuchukue wewe mzee wa vibe? Hapana.

Asante kwa kushiriki. Ulitumika tu kumuweka benchi Kilumbe ili wenye jimbo warudi. Na amesharudi. Ushauri wangu kwako tu kwa sasa ni uwe na akiba ya maneno. Usimzodoe sana kaka yako from another father kwani baada ya October huwezi kujua kitatokea nini. Suala kwamba zilikuwa ni kampeni tu zile, sio kwa Zitto.

Hapo nimezungumzia upande mmoja tu nikiacha mengine yawe constant.
Halafu mkuundugu yetu katika imani
 
Back
Top Bottom