Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,965
- 4,040
Acha kuingilia masuala ya baba yako,
Kuwa uyaone utoto unakusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa uyaone utoto unakusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa kinafiki namba moja ni hu.Wapige picha, yaani tafuta ushahidi hlf mjulishe mama. Mzee wako hajitambui mkomeshe.
Hapa utapata ushauri wa kinafiki tu. Angekuwa mama ndo anaingiza vidume ungeshauriwa vzr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba ako ni mchumi anaokoa gharama, mwache aingize ili awape pesa ya kwenda kula shulesikatai afanye ila sio nyumbani kwa maza.
Kama umeahakua kiasi cha kuanza kuona kasoro za ndoa ya wazazi wako,nakushauri uhame home. Hivi vitu usipokuwa navyo makini huwa vinararua familia vipande vipande.wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Busara ni kukaa kimya kama hujui lolote. Kama unaweza kujimudu kupanga geto lako, na mahitaji mengine basi umwambie baba mwenyewe na siyo mama yako.
Mzee wako anafanya makosa tena makubwa sana ila kumfunga paka kengele ni ngumu mno.
Huwezijua chanzo cha yeye kufanya hayo. Usikute mama yako anampa mgongo miaka yote au wanalala mzungu wa nne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mueleze haya maneno mtu mwenye hekima amkalishe Baba yako. Akileta magonjwa ndani mama yako atakua mhanga pia anakufundisha nini wewe mtoto wake?
Una babu, Baba mkubwa au hata kiongozi wa dini, uyaweke wazibaba yako aitwe pasi mama yako kufahamishwa.
mama amepambana mpaka nimalize chuo kikuu lazima mzee azime
wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Ndiyo maana nimesema mtu mwenye hekima
Nenda kwako!! au Bi Mkubwa alikuomba umchungie babako?wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.