chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,146
- 2,338
- Thread starter
- #41
mama amepambana mpaka nimalize chuo kikuu lazima mzee azime
sikatai afanye ila sio nyumbani kwa maza.
Huenda demu wake hajui kulia,ingekuwa vzr hiyo part angeicheza na ww ulie vizuri mmkomeshe mzeeAcha kulia lia mwanaume, vuta manzi ashindane kulia na demu wa mzee wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ww ni me hapo home mngeongea fresh na mdingi kwamba hizo mambo sio po kufanyia home maana hata kama ww hutosema ila wapo ambao wataleta habari mpaka kumfikia bi mkubwa. inavyoonekana ww na mshua hamko fresh ndio maana anakuona snitch kwake na kuanza kuishi maisha ya pekeake. mbona sisi wengine tunawekana fresh tu na mdingi na mambo yanasonga ? mkuu jaribu kurekebisha dosari ili mzee akae usawa mzuriwakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Hivi ukinyimwa unyumba ndio upoteze akili au staha ya kujiheshimu kama baba. Vipi mbeleni wanawe wakianza kuzingua katika ndoa na yeye atakuwa na kauli kama mshauri kweli !!!...Busara ni kukaa kimya kama hujui lolote. Kama unaweza kujimudu kupanga geto lako, na mahitaji mengine basi umwambie baba mwenyewe na siyo mama yako.
Mzee wako anafanya makosa tena makubwa sana ila kumfunga paka kengele ni ngumu mno.
Huwezijua chanzo cha yeye kufanya hayo. Usikute mama yako anampa mgongo miaka yote au wanalala mzungu wa nne.
Sent using Jamii Forums mobile app
ntamuua walah inaniuma



ulivyo dhaifu hivo na kulalamika kama mtoto wa kike huwez mkuu huna ubavu huo ungekuwa sio dhaifu na kutonyamazia huo ujinga wake mzee angekuheshimuUnacho cha kupoteza ndo maana mpaka sahivi haujampigantamuua mzee sina cha kupoteza

Dooh badala ya kupambana eti unalia mkuu hizi dharau mpaka lini lazima wakuheshimumpaka machozi yananitoka
Mkuu acha kupanic.. huyo ni mzee wako ila anakuchukulia easy sana. Fanya kama ulivyoshauriwa tuhuu usenge siwezi kuukubali
huu usenge siwezi kuukubali
Ungekua huwezi kuukubali usingekuja jeiefu kulialia Kama unajiamn ongea na mzee wako au tafuta watu wa busara waongee nae.huu usenge siwezi kuukubali
Hata nyinyi hawaheshimu. Hana maadili, mjinga, hovyoooowakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
mpaka machozi yananitoka