Baba kuingiza wanawake ndani kipindi mama amesafiri

wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Unajuaje mama yako kaenda kuangalia ndugu? Uenda kaenda kudanga na michepuko kibao ndo maana na dingi anaona isiwe shida. Unaweza kuta huwa anamnyima! Wee mtoto kua uondoke hapo home kajitegemee! Acha kuchunguza maisha ya baabako!
 
wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Muulize kimtego mama yako kama he Mzee ni mchepukaji? Alisema ndio, mtahadharishe asije kuuliwa kwa umalaya wa baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ultaka awe anakukamua wewe
 
wakuu hii imekaaje nipo nyumbani kwa mda na mama mzazi amesafiri kwenda dar kuwaona ndugu zangu wengine. ila mzee naona ana tabia ya kuleta wanawake ndani naona inakuwa too much naona kama hamheshim bi mkubwa.
Kha! Wacha ufala wewe, unamuonea wivu baba yako?

Sent from my MI MAX 3 using Tapatalk
 
Dogo acha ujinga...Ukiona hivo ujue mzee kachafukwa na kwa mbali hio safari ya Maza inaonekana Maza alienda kwa utata flani hivi so ushauri wangu kwako....Usijiingize katika usoyajua usijekuta Maza nae huko kaenda kwa mtu wake ukzajikuta unapata Fedheha zaidi.Ndoa zina mambo mengi oa na wewe utayaona ila mdingi wako Kauzu aisee.Kwa hio akiwa anakula vitu unasikia kabisa wakinyonya Mua na asubuhi anaandaliwa chai ama analeta wa short time?
 
Back
Top Bottom