Alichokisema Yesu ni kitu anachokijua hakuwa anazungumza mataniUnafiki..!
Alichokisema Yesu ni kitu anachokijua hakuwa anazungumza mataniUnafiki..!
wewe huna PhD hiyo ni sababu tosha kwako kutoweza kumuelewaKwanza ungetoa hiyo PHD maana msomi yeyote anajua maana ya disaster !! Sasa hayo aliyoyasema yanauhusiano gani na hii ajali?
Hauwezi kumuelewa kamwe... Amka toka usingizini kwanza... Kila kitu MNA waza siasa tu...??Huyo anafanya siasa tu..kwa nini agusie miradi ya maendeleo ambayo chadema wanaipinga..?mbona mabasi yanapata ajali..boda boda na vingine..hata magari binafsi..mwanadamu huwa akikaa hafikirii mabaya..kwenye ndege kuna miamvuli ya kujiokoa lakini hata siku moja husikii ndege imepata ajali na kuna watu wawili walijiokoa kama ambavyo tunaagizwa kufanya tukiingia kwenye ndege ( hii ni kwa waliowahi kupanda)..inapotokea ajali watu hughafirika na unaweza usione hata hilo boya hususani kwa ajali ya mara moja na haraka...lakini ukiangalia hii ajali ilikuwa inaepukika..ni suala la uzembe na rushwa kwa wasimamizi wa kivuko..
Huwezi elewa... Kwani imeongea PhD??? Tua huo mzigo ulio nao kwanza...Kwanza ungetoa hiyo PHD maana msomi yeyote anajua maana ya disaster !! Sasa hayo aliyoyasema yanauhusiano gani na hii ajali?
Hivi hajiulizi kwanini hao mitume au manabii waliwawa na watawala.Nina uhakika uelewi ata king kidogo kuhusu dini. Hakuna sehemu ata moja dini iliwahi kutengwa na siasa.
Soma story zote za mitume na manabii hawakuwahi kuficha nyuso zao kwa kuogopa watawala.
Ukweli mchungu sanaSadaka na dhaka zimepungua makanisani..ile minada ya mashindano hakuna tena..wanajaribu jaribu kwenye siasa huku.maana wanaamini huku bado kuna vijisenti senti
Ninaona wamesahamu kuwa very human being is apolitical animal, huwezi tenganisha dini na siasa.Dini ni siasa,matukio ni siasa,kwa kifupi maisha ni siasa,hasiyejiusisha na siasa ni.mpumbavu kiwango cha makalio ya Joyce wowowo
Kweli, sasa nmeamini akili ndogo si rahisi kumuelewa bagonza.Kwamba maendeleo yana majanga, Dr mzima unashauri turudie Ujima..! Badala ya umeme tutumie kupekecha vijiti ili kupata mwanga,moto nk, badala ya usafiri wa anga tutembee kwa mguu..hizi ni chuki tu,
Kwamba maendeleo yana majanga, Dr mzima unashauri turudie Ujima..! Badala ya umeme tutumie kupekecha vijiti ili kupata mwanga,moto nk, badala ya usafiri wa anga tutembee kwa mguu..hizi ni chuki tu,
Hebu acha ubahili wa kutumia akili mkuu, alicho shauri Askofu hapo ni kuwa na taadhari kwa kila mradi wa maendeleo unaofanyika pia kuwe na utararibu wa kukabiliana na side effects zake ,think out of politics unaweza kupata point hapo. Epuka siasa za [emoji122][emoji122][emoji122] kila kitu.Kwamba maendeleo yana majanga, Dr mzima unashauri turudie Ujima..! Badala ya umeme tutumie kupekecha vijiti ili kupata mwanga,moto nk, badala ya usafiri wa anga tutembee kwa mguu..hizi ni chuki tu,
hivi tundali anahofu ya Mungu??Mmm!!?? Hivi kasema hivyo au unaspin kupata mileage? Mimi nimeelewa kwamba, hatua zote za maendeleo hupitia majanga, siyo kwamba turudi kwenye ujima ili tusipatwe na majanga. Na hoja yake ni disaster preparedness. Anashauri tunapofanya miradi ya maendeleo, pia tujipange kukabili majanga kwa weredi. Tundali Mungu anakuona ujue.
Rudi shule mkuu huwezi kuelewa mambo mazito kama haya ya Baba askofu(phd)Kwamba maendeleo yana majanga, Dr mzima unashauri turudie Ujima..! Badala ya umeme tutumie kupekecha vijiti ili kupata mwanga,moto nk, badala ya usafiri wa anga tutembee kwa mguu..hizi ni chuki tu,
Kila anaepinga ni chademaHuyo anafanya siasa tu..kwa nini agusie miradi ya maendeleo ambayo chadema wanaipinga..?mbona mabasi yanapata ajali..boda boda na vingine..hata magari binafsi..mwanadamu huwa akikaa hafikirii mabaya..kwenye ndege kuna miamvuli ya kujiokoa lakini hata siku moja husikii ndege imepata ajali na kuna watu wawili walijiokoa kama ambavyo tunaagizwa kufanya tukiingia kwenye ndege ( hii ni kwa waliowahi kupanda)..inapotokea ajali watu hughafirika na unaweza usione hata hilo boya hususani kwa ajali ya mara moja na haraka...lakini ukiangalia hii ajali ilikuwa inaepukika..ni suala la uzembe na rushwa kwa wasimamizi wa kivuko..
Mbona K asema yalliyo mema tu. Politics ziko wapi hapo.Mwanasiasa aliyejificha kwenye dini.Afanye moja aeleweke.
Anaandika Baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD), daktari wa Falsafa na Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
_____________________________
MAPENZI YA MUNGU na MAPENZI YETU.
Siyo kila kifo ni mapenzi ya Mungu hata kama Mungu anajua kila kifo. Siyo kila ajali ni Mapenzi ya Mungu hata kama Mungu anaiijua kila ajali.
Tukumbuke alimuacha Mwana wake kuuawa hata kama alikuwa na uwezo wa kuzuia. Alimwacha Mwana wake kusalitiwa hata kama alikuwa na uwezo wa kumkomesha msaliti wake.
Hatua zote za maendeleo zina ukurasa wa majanga. *Dreamliner na Bombadier usiote janga lake. SGR janga lake ni kiama. Stiggler's Gorge ina janga la kuangamiza mamilioni kwa siku moja kingo za bwawa zikipasuka. Meli mpya ya abiria 2000 ni kaburi la halaiki linaloelea majini.*
Uwezo wetu upimwe kwa kushughulikia majanga, si kwa kuchochea majanga. Poleni wafiwa, Ugua pole majeruhi, Tufarijiane Watanzania.
#MyTake:
Falsafa ni somo gumu, halijawahi kueleweka kwa wote. Lakini pamoja na ugumu wake, tuzitafakari falsafa za baba Askofu Bagonza, na tujitahidi kuzielewa. Zina mengi ya msingi.![/QUT
Ni kweli kabisa kuwa Falsafa in somo gumu kueleweka.Nimeona mambo matatu aliyoyaeleza
Anaandika Baba Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD), daktari wa Falsafa na Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
_____________________________
MAPENZI YA MUNGU na MAPENZI YETU.
Siyo kila kifo ni mapenzi ya Mungu hata kama Mungu anajua kila kifo. Siyo kila ajali ni Mapenzi ya Mungu hata kama Mungu anaiijua kila ajali.
Tukumbuke alimuacha Mwana wake kuuawa hata kama alikuwa na uwezo wa kuzuia. Alimwacha Mwana wake kusalitiwa hata kama alikuwa na uwezo wa kumkomesha msaliti wake.
Hatua zote za maendeleo zina ukurasa wa majanga. *Dreamliner na Bombadier usiote janga lake. SGR janga lake ni kiama. Stiggler's Gorge ina janga la kuangamiza mamilioni kwa siku moja kingo za bwawa zikipasuka. Meli mpya ya abiria 2000 ni kaburi la halaiki linaloelea majini.*
Uwezo wetu upimwe kwa kushughulikia majanga, si kwa kuchochea majanga. Poleni wafiwa, Ugua pole majeruhi, Tufarijiane Watanzania.
#MyTake:
Falsafa ni somo gumu, halijawahi kueleweka kwa wote. Lakini pamoja na ugumu wake, tuzitafakari falsafa za baba Askofu Bagonza, na tujitahidi kuzielewa. Zina mengi ya msingi.!
Pole sana kwa kukosa elimu bora au kwa kuwa na akili mbovu. Hakuna kitu "dhaka",kuna ZAKA.Sadaka na dhaka zimepungua makanisani..ile minada ya mashindano hakuna tena..wanajaribu jaribu kwenye siasa huku.maana wanaamini huku bado kuna vijisenti senti