Whom to argue with????Your mental falcuty is quite detrimental with political manoeuvres!!Please argue,dont shout mkuu
Whom to argue with????Your mental falcuty is quite detrimental with political manoeuvres!!Please argue,dont shout mkuu
Aliekudanganya kuwa kwenye ndege kunamiamvuli ya kujiokoa kakuweza kwelikweli. Panda ndege hata sikumoja uone kama kunakitu kama hicho. Kitu ambacho kipo ni life jacket kama za kwenye meli hakuna parachute ndugu yangu.Huyo anafanya siasa tu..kwa nini agusie miradi ya maendeleo ambayo chadema wanaipinga..?mbona mabasi yanapata ajali..boda boda na vingine..hata magari binafsi..mwanadamu huwa akikaa hafikirii mabaya..kwenye ndege kuna miamvuli ya kujiokoa lakini hata siku moja husikii ndege imepata ajali na kuna watu wawili walijiokoa kama ambavyo tunaagizwa kufanya tukiingia kwenye ndege ( hii ni kwa waliowahi kupanda)..inapotokea ajali watu hughafirika na unaweza usione hata hilo boya hususani kwa ajali ya mara moja na haraka...lakini ukiangalia hii ajali ilikuwa inaepukika..ni suala la uzembe na rushwa kwa wasimamizi wa kivuko..
I appreciate your quotation but Sidhani kama Yesu alitumia muda wake mwingi kuongelea siasa.Hawa baadhi ya maaskofu kila wakiongea hawana ajenda tofauti na wanasiasa.Hawa miungu watu wa Afrika lazima wakemewe tuu, na manabii na mitume wa Mungu.
Haya ni maneno ya Yesu mwenyewe akimwambia Herode.
Luka 13:32
Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
Anyway,you might be a wrong identity to argue with.Sorry.You seem to be stressed with some other issues.Relax sisterWhom to argue with????Your mental falcuty is quite detrimental with political manoeuvres!!
Sadaka na dhaka zimepungua makanisani..ile minada ya mashindano hakuna tena..wanajaribu jaribu kwenye siasa huku.maana wanaamini huku bado kuna vijisenti sentiAskofu ambaye kila akipanua kinywa anaongea siasa hatufai.Ajiunge tu na vyama vya siasa ili atambulike na sisi tumjadili kisiasa
Unajua wajibu na majukumu ya mtumishi wa Mungu ni yapi?Mwanasiasa aliyejificha kwenye dini.Afanye moja aeleweke.
Hizo ni local flights..sasa hiyo life jacket imeshawahi kutumika??Aliekudanganya kuwa kwenye ndege kunamiamvuli ya kujiokoa kakuweza kwelikweli. Panda ndege hata sikumoja uone kama kunakitu kama hicho. Kitu ambacho kipo ni life jacket kama za kwenye meli hakuna parachute ndugu yangu.
Kupinga maendeleo kwa kigezo cha majanga kama maendeleo husika yakifanyika..Unajua wajibu na majukumu ya mtumishi wa Mungu ni yapi?
Acha ujinga hakuna ndege ya abiria yenye parachute. Iwe local au internationa. Naona unaongea vitu usivyovijua.Hizo ni local flights..sasa hiyo life jacket imeshawahi kutumika??
Dini ni siasa,matukio ni siasa,kwa kifupi maisha ni siasa,hasiyejiusisha na siasa ni.mpumbavu kiwango cha makalio ya Joyce wowowoMwanasiasa aliyejificha kwenye dini.Afanye moja aeleweke.
Aisee una hasira kali sana.Hivi na wewe ni critical thinker?Dini ni siasa,matukio ni siasa,kwa kifupi maisha ni siasa,hasiyejiusisha na siasa ni.mpumbavu kiwango cha makalio ya Joyce wowowo
Takataka hazikosi kwenye jukwaa hili dah!!Mwanasiasa aliyejificha kwenye dini.Afanye moja aeleweke.
Unataka niwe kichaaa kama naniAisee una hasira kali sana.Hivi na wewe ni critical thinker?
Kha! Mbona na hao viongozi wa Serikali wanakwenda Makanisani na Misikitini, halafu wanataka waombewe? Na wao wafanye moja waeleweke.Mwanasiasa aliyejificha kwenye dini.Afanye moja aeleweke.
Unampangia namna ya kuishi!! Wewe kama nani?Mwanasiasa aliyejificha kwenye dini.Afanye moja aeleweke.
Kama mkuu wa malaikaUnataka niwe kichaaa kama nani
Jamaa hajielewi huyu kazi kytetea mpaka ujinga achana naeKha! Mbona na hao viongozi wa Serikali wanakwenda Makanisani na Misikitini, halafu wanataka waombewe? Na wao wafanye moja waeleweke.
Hahaaaaaaaaaaa umenichekesha kinoma ukichaa wa yule umepitiliza ametuachia msiba kwetu UkKama mkuu wa malaika