Kuna wazazi wanaotengana na baada ya hapo baba anakataa kuchangia mahitaji ya mtoto, akimuachia mama jukumu lote la chakula, ada, mavazi na matibabu.
Lakini kwa mujibu wa Kifungu cha 129 cha Law of Marriage Act, baba ana wajibu wa kutunza mtoto hata kama mtoto anaishi na mtu mwingine. Kifungu...
SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA
NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama.
Huruma sio malezi.
Mmeamua kuachana msisumbue watu hapa.
Mmeamua kuzalishana huko msisumbue watu. Watoto ni wenu...
Nashauri serikali ipeleke muswada maalum wa kuwalinda watoto kwa kuwa ni dhahiri muda si mrefu watakuwa waathirika.
Katika Hali ya sasa binadamu wamekuwa kama wanyama pori, bata au kuku, madume yanadunga mimba halafu yanaondoka.
Hii ya kusema single mother ni signal kwamba katika jamii kuna...
S/N
MASWALI
MAJIBU
1
Mtoto wa umri gani analazimika kisheria kubaki na mama pale wazazi wanapotengana au kuachana?
Kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya mwaka 2009 iliyofanyiwa marekebisho Mwaka 2019 kifungu cha 26 (1) (a), (b) (c) na (2) inaeleza kwamba endapo wazazi watatengana mtoto atakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.