malezi ya watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi cha digital interval ya watoto huwa ni miaka mingapi?

    Mambo yamebadilika wakuu siku hizi hatushindani kufyatua watoto kutokana na gharama za malezi na malengo ya kuwajengea watoto maisha mazuri. Zamani watoto waliachana kwa interval ya miaka miwili, hii iliwezesha wazazi kuwa na watoto wengi kwakuwa walikuwa walikuwa na ardhi ya kutosha na yenye...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mama Mkwe kuingilia malezi ya watoto wangu?

    Mama mkwe wangu namheshimu sana kama mama yangu ila kitu napishana naye ni pale anapotaka kuingia kuwa mzazi wa watoto wangu. Ananiingilia sana kwenye malezi, kila nikifanya maamuzi kwa watoto wangu yeye anapingana nayo anataka mtoto alelewe vile yeye anaona inafaa mpaka nashindwa kuelewa huyu...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja linaendelea kushika kasi. Tuelezeni, changamoto iko wapi?

    Siku hizi wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja limeshika kasi na linaonekana kama jambo la kawaida ila kwenye malezi tunajua kuna gap kubwa sana kwa mtoto na mzazi Unaweza kuta mwanaume au mwanamke anamlea mtoto mwenyewe bila mzazi mwenzie. je ni kipi kinacho pelekea kufika ukoo? Na wale...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mama mtu mzima kwa ajili ya malezi ya watoto, wa hiari mtu mzima

    Habari? Kama kichwa kilivyo, mimi ninafanya kazi ya kuajiriwa ,na mke wangu ni mfanyabiashara tuna watoto watano, wawili bado wadogo chini ya miaka mitano. Wengine wapo miaka 12, wapili 9 na watatu 7. Wadada wa kazi wanasumbua sana. Mama na baba walitangulia tangu nikiwa mdogo, pia mke wangu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa kisasa msijisahau kwenye Malezi, hawa kina junior wamekuwa mizigo hawawezi hata kujioshea vyombo ni mizigo, ni kero kubwa wakiwa ugenini

    Sijui ni nani aliwadanganya baadhi ya wazazi, hasa wale waliotoka kwenye familia duni, kwamba mara tu wakipata vijisenti basi watoto wao hawapaswi tena kufanya majukumu ya kujitegemea wala ya nyumbani. Watoto wakila waache vyombo kwenye sinki house girl ataosha watoto wakitoka shule watupe...
  6. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

    Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ? Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto

    Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto
  8. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Wazazi, Mnamfundisha Mtoto Kuishi au Kuwa Mshika Maandishi? – Usimjengee Akili, Ukauwa Ujasiri Wake

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  9. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mlee Mtoto Wako Aweze Kuishi Maisha na Siyo Kuyafahamu Tu, Maana Akiyafahamu Kabla Hayajayaishi Atashindwa Kuyafurahia

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  10. c_alphonce

    JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto

    Mtoto akiwa na hasira na wasiwasi hawezi kujifunza. kifuniko cha juu cha ubongo Cortex hujifunga katika mazingira ambayo mtoto anawasiwasi na hasira. Kwa hiyo katika hali hiyo hawezi kuelewa Chochote; mtoto hujifunza vema katika nyakati walimu na wazazi wamejenga mazingira rafiki na salama...
  11. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  12. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Familia Kubwa, Changamoto Kubwa: Ukweli Usiosemwa Kuhusu Malezi ya Watoto Wengi

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
  13. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania JAMVI LA WANAWAKE: Mshaurini binti kayavaa na mwanaume wa South Africa

    Nimekopi meseji kama nilivyoipokea. ************ Dada shikamoo, Miaka 4 iliyopita niliolewa na mwanaume wa Kitanzania anayeishi South Africa. Nimezaa naye mtoto mmoja na nina ujauzito wa mtoto wetu wa pili. Huyu mwanaume alinikuta na mtoto mdogo wa miaka 2 ambaye baba yake alifariki kwa ajali...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu wa pili kamzidi kaka yake ujasiri, ujanja, uwajibikaji. Hii ni kawaida?

    Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo. Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tunajitoa na kuwekeza sana kwenye maisha ya watoto wetu kama jukumu la kila mzazi, ni sahihi kujisikia vibaya wanapotusahau tukizeeka ?

    Kila siku huwa naangalia jinsi navyojitoa na kuwekeza kwa watoto wangu, mapambano ni makali sana ila huwa najiuliza, nikizeeka halafu wao wanisahau itakuwa sahihi kujisikia vibaya ? Kuwalisha, kuwavisha, kuwanywesha, kuwahifadhi nyumbani, kuwapa pesa za matumizi, kuwasomesha, kuwatibu, n.k. kwa...
  16. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wanawake kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao iko kwa Warangi tu au na makabila mengine?

    Hivi wanawake wa makabila yote wanafanana tabia na wanawake wa kirangi kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao ? Nimekutana na Sampuli ya Wanawake kadha wa kadha wa Kirangi ambao wamejisifia kufanya hivi baada ya Kugombana na wenza wao Nikasema nije kwenye jamvi niulize
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Juliana shonza; Waambie wanawake wenzako kama hawawezi kuhudumia watoto wao wawapeleke kwa Baba Zao full stop na sio hizo ngonjera ulizotoa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Juliana Shonza lazima uelewe hakuna Baba asiyeweza kutunza Mtoto wake. Huyo Baba hayupo. Kama wanawake wametelekezwa kwa Sababu zozote zile kama hizo ulizotaja ikiwemo jeuri na kiburi Acha wapambane na Hali Zao. Sisi wanaume hatuwezi kutoa pesa na kutunza...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Iwe kasoma Kayumba au EMs bado mwanao ana nafasi ya kufanikiwa maishani ukizingatia malezi bora

    Siku za hivi karibuni kumeibuka mabishano makali kuhusu kusomesha mtoto St Kayumba (Govt schools) au English Medium (Private school). Upande wa St Kayumba wana hoja na hata wa Private pia wana hoja. Binafsi msimamo wangu ni kila mtu asomeshe mwanae kulingana na uwezo wake wa kifedha. Faida...
  19. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Gen Z kupenda kuongea na simu mpaka usiku mnene ni kawaida au ni huyu wa kwangu tu?

    Binti mdogo wake na wife kaja kututembelea baada ya yeye kumaliza shule (kidato cha nne). Dogo alivyofika alikuwa mpole sana as days goes on naona anazidi kucharuka anaongea na simu mpka usiku mnene. Nishamwambia wife aongee nae anasema anaogopa atamkwaza na itaonekana anamnyima uhuru. Jana...
  20. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mfundishe mwanao majukumu yale ambayo yatakuwa faida kwenye maisha yenu na yake ya baadaye kwasababu huyo ni mume au mke wa mtu wa baadaye

    Mfundishe mwanao majukumu yale ambayo yatakuwa faida kwenye maisha yenu na yake ya baadaye kwasababu huyo ni mume au mke wa mtu wa baadaye pia ni mwanafamilia wako Mama/baba mfundishe kijana wako wa kiume swala la kuosha vyombo, kupika na kufua nguo si swala la mwanamke na huyo binti yako pia...
Back
Top Bottom