Baba ake Ommy Dimpoz alalamika kutengwa na mwanae

Watoto wa kiume wengi mapenzi yao kwa mama tu...
Hata cwez kumlaum Ommy kwa anachokifanya
Kwasababu watu wengi huamin baba anauwezo wa kujikim mahitaji yake mwenyewe bila kupatiwa Msaada
Dah inasikitisha sans
 
Hii ni shida sasa, kumbuka amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu. Usitegemee mwanao atakuja kukutanza na kukujali hapo uzeeni. Wazee waliojiandaa na maisha ya uzeeni wala hawana shida... wanatunzwa na kulelewa maana walijipanga. We kula ujana wako usijiwekee akiba utegemee utalishwa na wanao! Mzee mwenye pesa zake nyumba yake itajaa watu na atakufa mikononi mwa watu. Jipangeniiiiiii
Kumbuka baba yako alikuzaa akiwa fukara kauza mashamba Ili usome ,kajenga nyumba kishida shida watoto wake wastirike kweli Dunia imevaa kimini leo unamuona baba yako hana thamani tena Eti Apambane na hali yake ?
 
Kama alimterekeza ni sawa lakini kama hakumterekeza haiwezekani ule bata halafu eti uje na utetezi wa kiboya kama huo eti watu wengi uamini baba anaweza kujikimu mahitaji yake mwenyewe.
Yani uwe na maisha mazuri mzazi wako ana miaka 64 anahangaika na bajaj useme anaweza kujitunza mwenyewe huo ni ujinga wa kiwango cha rami
Naskia baba yake na ommy alikuwa ni dereva wa malori makubwa na ommy alipatikana kwenye mishe mishe za madereva..
Kama tunavyojua madereva wa maroli wanavyoacha familia kila mkoa wanaopita sidhani kama huyu mzee kashiriki kwenye malezi ya ommy..

Ommy hawezi kuwa mpuuzi kiasi hicho kwamba baba yake aliyemlea awe hana namba yake..hata ukiangalia mahojiano hapo inaonekana mzee anamtaka ommy kimaslahi tu na sio kwa ajili ya relation ya baba na mwana
 
Kama ni hivyo apige kimya sio baba yeye ni sperm donor
 
Hao ndio wazazi wapuuzi tu, yeye mzazi ndio anatakiwa atafute mali kwa ajili ya kumuachia mwanae urithi, na sio Omary kumtunza huyo dingi.... Yeye miaka hiyo 64 alikuwa anafanya nini hadi leo ashindie mihogo, si alikuwa anakula bata na vimada? Aache upuuzi wake.
Una mtoto kweli ww
 
Kumbuka baba yako alikuzaa akiwa fukara kauza mashamba Ili usome ,kajenga nyumba kishida shida watoto wake wastirike kweli Dunia imevaa kimini leo unamuona baba yako hana thamani tena Eti Apambane na hali yake ?
Una uhakika gani kama alimuhudumia mwanawe ( dimpoz) , mababa wengi utelekeza watoto
 
Kipindi flani nilimuona kwenye shilawadu wakina soudybrown wakimuhoji anaonekana ana kitu na mwanaye huwa nawaza tu siku mzazi anafariki huku huelewani naye na hapo ameshasema asizikwe naye akifa
 
Mzee kala bata weeee na usikute nae alimtelekeza mwanae sasa hivi vyuma vimekaza kaona dimpozi anamelemeta na virangi rangi kichwani mzee kapagawa
 
Kumbuka baba yako alikuzaa akiwa fukara kauza mashamba Ili usome ,kajenga nyumba kishida shida watoto wake wastirike kweli Dunia imevaa kimini leo unamuona baba yako hana thamani tena Eti Apambane na hali yake ?

Usichanganye mambo. Alinizaa na kunilea ikiwa ni wajibu wake. Wajibu wangu ni kulea watoto wangu nao waje kuwalea watoto wao. Na ndio maana unashauriwa kama huna uwezo wa kulea watoto usiwazae ukitegemea watakuja kukulea wewe! We ndio wale wanaosema kila mtoto anakuja na riziki yake eeeeee we fyatua tu ushindwe kujijenga halafu uone kama kesho watakulea.
 
Huyu mzee enzi za ujana wake kala sana bata afu mzee alikuwa mtu watotoz sana alikuwa na wake wengi dimpoz mwenyew ana mama yake lkn alifariki nadhan mzee anawtoto 17+ jumla wachache mama tofaut..
Simply mzee mpambanaji sana hamfuatiliagi sana mtoto wake
Dimpo mwenyew msanii anaeongoza kula bata Tz nchi za watu huko viwanja tofaut
 
Back
Top Bottom