Yeye kakuzaa wewe. Bila yeye wewe usingekuwa hapo. Sasa kweli mzee anapata shida kijijini we bila mshipa wa aibu unakula bata mjini na nchi za watu. Hata mshipa wa aibu huna kweli? Sisi ndio wakufanya hayo. Yeye na yeye alimboreshea mzazi wakeHiyo c
Hiyo chain siielewi, wewe mtoto umboreshee mzazi, na yeye mzazi amboreshee nani, si mzazi wake na yeye au?, je amemboreshea mzazi wake au anadai tu yeye ilhali yeye hajamboreshea mzazi wake?
Kwa hiyo shida ni mimi kula bata mjini na nchi za watu?Yeye kakuzaa wewe. Bila yeye wewe usingekuwa hapo. Sasa kweli mzee anapata shida kijijini we bila mshipa wa aibu unakula bata mjini na nchi za watu. Hata mshipa wa aibu huna kweli? Sisi ndio wakufanya hayo. Yeye na yeye alimboreshea mzazi wake
Sasa unakula bata humkumbuki mzee wako. Unazifurahia vipi pesa zako.? Tunatafuta pesa kuja kuzitumia kwa wale ndugu na jamaa zetu na ndipo furaha inapoanzia.Kwa hiyo shida ni mimi kula bata mjini na nchi za watu?