Baadhi ya watanzania ni wajinga kupitiliza

Baadhi ya watanzania ni wajinga kupitiliza

Siongelei chanjo za covid mkuu!
Nazungumzia chanjo wanazopata watoto baada ya kuzaliwa kuanzia 0-5 years ambazo ni rotavirus,polio,bcg, diphtheria, measles NK.
mtoa mada amezungumzia kuhusu hormones na dawa za mswaki za misaada wanazopewa watoto huko ametaja songea.
ni hivi mkuu.
ukiweka pembeni kuhusu ushoga na vichochezi ambavyo vimeelezwa na mtoa mada.
DAWA ZA MISWAKI KARIBIA ZOTE ZINAZOTUMIWA SI NZURI KWA AFYA na hazinaga ulazima sana wakati wa kusafisha kinywa.

kuna watu tofauti humu ndani .
vipi kama mtoa mada anajua hiyo siri kweli kuna vitu vimewekwa sasa anajarbu kuwaprotect watoto maana .
 
Mambo kama haya,mpaka wachungaji,je waumini watasemaje
Screenshot_20230401-215432_Chrome.jpg
SmartSelect_20230401-215415_Chrome.jpg
 
mtoa mada amezungumzia kuhusu hormones na dawa za mswaki za misaada wanazopewa watoto huko ametaja songea.
ni hivi mkuu.
ukiweka pembeni kuhusu ushoga na vichochezi ambavyo vimeelezwa na mtoa mada.
DAWA ZA MISWAKI KARIBIA ZOTE ZINAZOTUMIWA SI NZURI KWA AFYA na hazinaga ulazima sana wakati wa kusafisha kinywa.

kuna watu tofauti humu ndani .
vipi kama mtoa mada anajua hiyo siri kweli kuna vitu vimewekwa sasa anajarbu kuwaprotect watoto maana .
Kila kitu kina faida na hasara,dawa zote zina faida na side effects, nyingine zina mpka adverse effects lakini bado tunatumia kwakuwa muda mwingine faida ni nyingi kuliko hasara au hatuna jinsi.
 
Kila kitu kina faida na hasara,dawa zote zina faida na side effects, nyingine zina mpka adverse effects lakini bado tunatumia kwakuwa muda mwingine faida ni nyingi kuliko hasara au hatuna jinsije
mkuu! hizo dawa wazungu wamekuletea A'ight?
bado mkuu bado
hebu nipe faida moja tu.?
 
Kivip haiwezekan?
Packaging yake, itafanyika vipi ndani ya dawa ya meno,tunajua hormones zinatunzwa kwenye joto fulani,kwa mfano oxytocin hormone huko mahospitali inatunzwa kwenye frigi mana joto la kawaida inaharibika, insulin pia vivyo hivyo inatunzwa kwenye frigi,niambie hizo hormones zitakaaje kwenye dawa ya meno tena yenye floride na kemikali nyingine, kwenye mazingira ya joto la nyumba bila kuharibika?
 
Kila kitu kina faida na hasara,dawa zote zina faida na side effects, nyingine zina mpka adverse effects lakini bado tunatumia kwakuwa muda mwingine faida ni nyingi kuliko hasara au hatuna jinsi.
tuseme kweli mkuu.
mimi pia ninatumia hizo dawa.
 
ahsante mkuu !
unajua wengi wetu tupo na closed mindset .

biashara hizo!
madaktari ni matapeli sana.

ngoja nikukumbushe kipindi kile walivyotumia nguvu nyingi kumnyamazisha raisi THABO MBEKI KUHUSU HIV.
Na wakumbuke walivyo mpoteza DR.SEBH yule black alikuwa hatar sana had hao wazungu wanafyata kunavitu vingi yule jamaa anafundisha ad hasili ya vuakula tunavyo takiwa kula wa afrika lakin leo hii ni ovyo iv unajua kuna vyakula ukila ata hiyo dawa ya msaki haina haja ni zaid ya dawa ya msaki ila watu awajui yan wazungu wametufumba akiri zetu kwa kutupa maharifa na vitu feki, [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
Ujinga wa hao jamaa ni upi...wewe umetumia kigezo au kipimo gani kuwaita watu wajinga.....!??

Au umetumia maabara ipi kuthibitisha maoni yako na kuhalalisha ujinga wao??

Kwani haiwezekani hiyo dawa kupandikiza hivyo vichocheo.......??

Usijifungie kwenye box la fikra zako...Dunia haishii mwisho wa mawazo yako.....

Kwa Dunia ya Sasa hayo yote yanawezekana.....
Mjinga mwingine huyu hapa
 
Na hiyo fluoride ni kichocheo ninacho harib homon flan hiv mwilin,,, hata uzi wake ulisha wai wekwa apa jf....lakin sasa ndo hivo jaman nchi maskin znapitia changamoto flan hivi eavy sana na tatzo kubwa watu wanalinda matumbo na maslai

PIA JIULIZE: kwa nini mababu zetu awakuwai pigia dawa za mswaki lakin wamekufa wana meno yote mdomon ila sis dawa zamiswak plus mouth wash mara spray za mdomon lakin miaka 38 tu meno yalisha anza oza

MSINIHIS VBAY SIPIG VITA DAWA YA MSAWAKI JAMAN
Duuu mababu gani wenye meno na hawapigi miswaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mjadala naona kama siuelewi ingawa maswali ya Youngblood naona kama yana mantiki vile. Hebu mtuelimishe kisayansi. Homones zinabadilikaje mwilini mwa binadamu. Na nje ya mwili hizo homoni zinaweza kutunzwaje, kama kimiminika, kitu kikavu na jee ikichanganyika na dawa ya mswaki, hiyo homoni ubora wake hauwezi kuharibika?
 
Mkuu kwani hao wanaodai kua hiyo dawa ya meno inasababisha ushoga,wao wamethibitisha Maabara?
Hapana wao hawajathibitisha maabara.....Kwa hiyo anae waweka sawa anatakiwa ajiridhishe kuwa yuko sahihi kupitia vipimo......vinginevyo naye atakuwa ni mfano wa kipofu anaye mcheka mtu mwenye chongo........kwani wote wanaongozwa na falsafa Moja.....
 
Back
Top Bottom