ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
- Thread starter
- #181
Basi hata hizo dawa za meno atumie chini ya uangaliziKak issue sio kutotumia. Wakisema weka mbal na watoto haimaanish mtoto asitumie ila atumie chini ya uangalizi
Basi hata hizo dawa za meno atumie chini ya uangaliziKak issue sio kutotumia. Wakisema weka mbal na watoto haimaanish mtoto asitumie ila atumie chini ya uangalizi
Mkuu samahani ILA nilitaka kuuliza, hivi colgate wanaweza kukubaliana na serikali kwamba tuwawekee hawa watu hivyo vichocheo? sasa unadhani reputation ya kampuni iliyotengenezwa KWA miaka mingi itakuwaje? Unafikiria kuna mfanyabiashara au boss wa kampuni akakubali jambo kama hili embu tufikirie KWA hali ya kawaida tu?mkuu?
Hivi kweli unawaamini TBS?
HIVI kweli unaamini hii serikali inatupenda?
acha madktari watetee ugali wao hapa!
kumbuka sysytem inataka watu tuharibikiwe ili yenyewe ifanye biashara.
hivi unajua kuna sehemu dawa za meno zenye fluoride ni marufuku kutumia na hazipelekwi huko!
Yeah ndo nachozungumza.Basi hata hizo dawa za meno atumie chini ya uangalizi
wow!Kuimarisha menoView attachment 2573357
Ha haaaVipandikizi gani,hebu nielezee mechanism of action mpaka mtu ana brush meno then instantly anakuwa shoga au msagaji...labda mimi sijui chochote.
kwa jicho la kibiashara utagundua serikali inachojali maslahi na mapato kwanza!Mkuu samahani ILA nilitaka kuuliza, hivi colgate wanaweza kukubaliana na serikali kwamba tuwawekee hawa watu hivyo vichocheo? sasa unadhani reputation ya kampuni iliyotengenezwa KWA miaka mingi itakuwaje? Unafikiria kuna mfanyabiashara au boss wa kampuni akakubali jambo kama hili embu tufikirie KWA hali ya kawaida tu?
Aisee, kumbe kuwa shoga ni rahisi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha haaa
Kuna nyingine nimeskia kuna aina ya body spray zinagawiwa bure. Mwanaume akijipulizia anapata homones za kike na kuwa shoga.
Yet ukiumwa unakuja hospitali,maabara unaenda,dawa unapewa na kama ni opresheni ya tezi dume unafanyiwa halafu unaniambia nisiamini sayansi....sasa shule nimefuata nini Mkuu.wow!
mimi siyo msomi mkuu.
but i can smell bullshit from mile away!
mwili wa binadamu hauhitaji kemikali kutoka viwandani ili kuimarisha meno.
utofauti wa sokwe na binadamu kimfumo nadhani ni mdogo.
the thing is acha kuamini sayansi uliyofundishwa kama mtumwa
hiyo sanyansi inatufanya tuzidikuwa watumwa watiifu haitusaidii chochote.
najua nawewe utakuwa ni miongoni mwa watumwa tunao amini ukimwi unasababishwa na vvu.
wake up bro!
Yaani hiyo nikiipata napulizia kwa kila mwanaume nitakae kutana nae barabarani halafu natoka mbioAisee, kumbe kuwa shoga ni rahisi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mim pia naitaka ukipata chukua mbili, nataka nimpulizie boss wangu[emoji1787]Yaani hiyo nikiipata napulizia kwa kila mwanaume nitakae kutana nae barabarani halafu natoka mbio
Unaamini kuna biological weapons na ukimwi ni moja ya hizo weaponsYaani hiyo nikiipata napulizia kwa kila mwanaume nitakae kutana nae barabarani halafu natoka mbio
Hatariiiiiiiii😅😅Mim pia naitaka ukipata chukua mbili, nataka nimpulizie boss wangu[emoji1787]
✊✊✊Ukweli usemwe mitandao ya kijamii imekutana na idadi kubwa ya watanzania wajinga,faida ni chache kuliko hasara.
Umejuaje ukimwi ni biological weapon, weapon dhidi ya nani?Unaamini kuna biological weapons na ukimwi ni moja ya hizo weapons
Au nasema uongo ndugu zangu[emoji110][emoji110][emoji110]
Yes zitakuwepo lakini sio kihivyo.Unaamini kuna biological weapons na ukimwi ni moja ya hizo weapons
aisee!Yet ukiumwa unakuja hospitali,maabara unaenda,dawa unapewa na kama ni opresheni ya tezi dume unafanyiwa halafu unaniambia nisiamini sayansi....sasa shule nimefuata nini Mkuu.
Serikali ina mamlaka gani katika kampuni ya colgate? Unafikiria serikali inaweza kujiamulia kusema kwamba coca cola au pepsi si salama wajiamulie tu wao?kuna dozi ya malaria "ilisemekana" au ilithibitishwa kwamba imesababisha watu wapoteze usikivu? Ni nani alilithibitisha hilo ndugu?kwa jicho la kibiashara utagundua serikali inachojali maslahi na mapato kwanza!
je ni vingapi vimepitishwa ilihali tunafahamu si salama kwa afya!
kuna dozi ya malaria nakumbuka ilisemekana imepelekea wengi kupoteza usikivu? uliwahi kusikia hii?
cha zaidi itakuwa ni kama kiki na mauzo yataongezeka kuliko mwanzo.
Yuko sahihi,ni wengi mno"Tanzania Ina watu wajinga sana "dkt Mollel[emoji28][emoji28]