Baadhi ya watanzania ni wajinga kupitiliza

Baadhi ya watanzania ni wajinga kupitiliza

Siongelei chanjo za covid mkuu!
Nazungumzia chanjo wanazopata watoto baada ya kuzaliwa kuanzia 0-5 years ambazo ni rotavirus,polio,bcg, diphtheria, measles NK.
mimi sina watoto mkuu.
ila mimi sijawahi patiwa hizo chanjo wala siblings zangu wote hakuna aliyepewa hizo chanjo.
 
Waziri mmoja alijitokeza na kupiga marufuku vitabu vya wimpy kid, wakati hivyo vitabu haviko kwenye mitaala yetu
Nilishangaa sana mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787],na watu walichukua kama ilivyokuwa.
 
ww mtoa mada inawezekn hauna taarf za kutosha kuhs ulimwenhu na walimwengu , kuna njia nying sn za kueneza huu upuuz wao ,yaan ushoga na hii ni njia mojawapo take care
 
Kwaio ikilambwa yote ndo inaleta shida. Je unauhakika upi kuwa hio dawa mtoto atafika nayo Salama nyumban bila kuilamba?

Hakuna njia nyingine salama kuliko hio. Haiwezekan kuandaliwa Siku maalumu mtoto akaja na mlezi wake ,elim ikatolewa mzazi akapewa hiyo miswaki na dawa mtoto akawa salam?.

Okay umesema ukiweka karibu na watot wanawez ilamba yote ikaisha ikaleta madhara, Je hao watot mnauhakika watalamba kidogo pasina kuimaliza?
Jikite kwenye hoja ya msingi naona unatoka nje ya mada
 
Nimetoka kuziba jino few days ago daktari akaniambia nikipiga mswaki nisiwe nasukutua ili dawa ufanye Kazi.

Nimeshindwa kwakweli I'll just save for future tooth fillers.
Na watengenezaj wanasema umalizapo kupiga mswaki sukutua vizur kwa maji safi na usimeze dawa ya msaki sasa apo TAFAKARI[emoji6]
 
ww mtoa mada inawezekn hauna taarf za kutosha kuhs ulimwenhu na walimwengu , kuna njia nying sn za kueneza huu upuuz wao ,yaan ushoga na hii ni njia mojawapo take care
Mkuu wewe unatumia dawa ya meno,na je njia nyingine ni zipi labda ututasaidie tuzifahamu ili tusije tukawa mashoga
 
Jikite kwenye hoja ya msingi naona unatoka nje ya mada
Kama hapa unaona nmetoka nje ya mada hali ya kuwa naongelea #DAWA YA MENO kitu ulicholeta, bas pasina shaka msemo wa MJINGA HUONA WENGNE WAJINGA nmeuverify [emoji41]
 
Back
Top Bottom