dawa za mswaki si nzuri kwa afya .Sijui,lakini kama unasema hivyo nitaitafuta colgate.
Nadhani ulisema wewe ni mtu wa sayansi, na sayansi ya vitu kuingia ndani ya mwili ni darasa la tano haikuhitaji ufike Muhimbili.Kwahiyo kila mtu akibrush meno,anakula hormone au sio,atakula kwa muda gani,na hiyo dawa atakaa nayo kwa muda gani,hiyo hormones inajuaje sasa huyu ni mwanaume tumfanye awe shoga, au kuna dawa za meno za wanaume na wanawake.
Nani kasema hili? Nilichosema inawezekana kwa kuwa hormone ni chemical, na kama dawa ina chemical husika, Basi hiyo mechanism inawezekana.Kwahiyo kila mtu akibrush meno,anakula hormone au sio,
Mtu wa sayansi unauliza swali hili kweli?hiyo hormones inajuaje sasa huyu ni mwanaume tumfanye awe shoga, au kuna dawa za meno za wanaume na wanawake.
mkuu mbona mimi na familia yangu hatujawahi pata chanjo na hatutapata chanjo.Wapandikize vichochezi katika Colgate ili iweje? Wakiamua kila kitu wanamaliza kwenye chanjo za watoto na vitamins, kama mnaweza pigeni vita watoto wenu wasipewe chanjo za hospital tuone kama watoto wenu hawajapukutika kwa measles na polio na vifua vikuu.
Ujanja mwingi mbele giza
Imebidi nishangae kwanza nijiulize mara mbilimbili mdogo angu aliileta dawa na mswaki na kutumia alishatumia ndo naipata habari Leo,nmeshtuka.Hii kitu sio kweli,kuna kamapeni huwa inafanyika kila mwaka madaktari wa kinywa na meno wanapita mashuleni kutoa elimu kwa watoto,mara nyingi huambatana na kufundishwa namna ya kutunza meno na kupewa dawa na miswaki.
Kwahiyo tusitumie dawa za meno Mkuu?Na hiyo fluoride ni kichocheo ninacho harib homon flan hiv mwilin,,, hata uzi wake ulisha wai wekwa apa jf....lakin sasa ndo hivo jaman nchi maskin znapitia changamoto flan hivi eavy sana na tatzo kubwa watu wanalinda matumbo na maslai
PIA JIULIZE: kwa nini mababu zetu awakuwai pigia dawa za mswaki lakin wamekufa wana meno yote mdomon ila sis dawa zamiswak plus mouth wash mara spray za mdomon lakin miaka 38 tu meno yalisha anza oza
MSINIHIS VBAY SIPIG VITA DAWA YA MSAWAKI JAMAN
Hata watoto wako hawajawahi kuchoma chanjo hata ya polio,hata mkeo hajawahi kuchoma chanjo ya ya TT akiwa mjamzito au kabla?mkuu mbona mimi na familia yangu hatujawahi pata chanjo na hatutapata chanjo.
Nakuuliza wewe maana ndio umesema na unaamini kwamba kwenye hizo dawa za meno kuna hormone,na nadhani hata hapo nyumbani kwako unatumia dawa ya meno,je unataka kutuambia hiyo dawa yako inawezekana kuwa na hormones,kwamba muda wowote unaweza kuwa shoga?Nadhani ulisema wewe ni mtu wa sayansi, na sayansi ya vitu kuingia ndani ya mwili ni darasa la tano haikuhitaji ufike Muhimbili.
Nani kasema hili? Nilichosema inawezekana kwa kuwa hormone ni chemical, na kama dawa ina chemical husika, Basi hiyo mechanism inawezekana.
Mtu wa sayansi unauliza swali hili kweli?
Kwasababu tunakula sana sukari na wanga !PIA JIULIZE: kwa nini mababu zetu awakuwai pigia dawa za mswaki lakin wamekufa wana meno yote mdomon ila sis dawa zamiswak plus mouth wash mara spray za mdomon lakin miaka 38 tu meno yalisha anza oza
Wala usiwe na wasiwasi mkuu,mtu akitaka kukudhuru njia zipi nyingi na rahisi, wajawazito wanachomwa chanjo, watoto wachanga wote wanachanjwa kwanini mtu ahangaike na dawa za meno kama anataka kukugeuza shoga kama wanavyosemaImebidi nishangae kwanza nijiulize mara mbilimbili mdogo angu aliileta dawa na mswaki na kutumia alishatumia ndo naipata habari Leo,nmeshtuka.
Hizo dawa za meno zimetolewa na Marekani?Sawa unawaona washamba, lakini ndio Marekani itoe msaada wa dawa Za Meno?
ilikuwa ni biashara na upigaji tu!.Vipi Chanjo ilisaidia nini?
Ndo mana haya mambo spendi kuyajadili sana,yaani hii nchi inawajinga sana ikitokea tu ishu kubwa ya kitafia lazima kutaibuka ishu nyingine ya hovyo...Watalazimisha tu ata kutumbukiza ndege kwenye ziwa victoria msala uishie hapo.Ukweli usemwe mitandao ya kijamii imekutana na idadi kubwa ya watanzania wajinga,faida ni chache kuliko hasara.
Nimetoka kuziba jino few days ago daktari akaniambia nikipiga mswaki nisiwe nasukutua ili dawa ufanye Kazi.dawa za mswaki si nzuri kwa afya .
Isije kuwa wew ndo mjinga.Kweny warning imeelezwa "WEKA MBALI NA WATOTO " achilia mbali hizo doubts za ushoga na usagaji.Sina mengi ya kueleza habari,picha imemaliza yote.View attachment 2573188
ahsante mkuu !Na hiyo fluoride ni kichocheo ninacho harib homon flan hiv mwilin,,, hata uzi wake ulisha wai wekwa apa jf....lakin sasa ndo hivo jaman nchi maskin znapitia changamoto flan hivi eavy sana na tatzo kubwa watu wanalinda matumbo na maslai
PIA JIULIZE: kwa nini mababu zetu awakuwai pigia dawa za mswaki lakin wamekufa wana meno yote mdomon ila sis dawa zamiswak plus mouth wash mara spray za mdomon lakin miaka 38 tu meno yalisha anza oza
MSINIHIS VBAY SIPIG VITA DAWA YA MSAWAKI JAMAN