Baadhi ya watanzania ni wajinga kupitiliza

Baadhi ya watanzania ni wajinga kupitiliza

ZING SOKONI

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,512
Reaction score
57,113
Sina mengi ya kueleza habari picha imemaliza yote.
SmartSelect_20230401-185859_WhatsApp.jpg
 
Ujinga wa hao jamaa ni upi...wewe umetumia kigezo au kipimo gani kuwaita watu wajinga.....!??

Au umetumia maabara ipi kuthibitisha maoni yako na kuhalalisha ujinga wao??

Kwani haiwezekani hiyo dawa kupandikiza hivyo vichocheo.......??

Usijifungie kwenye box la fikra zako...Dunia haishii mwisho wa mawazo yako.....

Kwa Dunia ya Sasa hayo yote yanawezekana.....
 
Hii ishu ya dawa huko Songea inatrend Sana.

Mamlaka zinasemaje juu ya hili?
Hii kitu sio kweli,kuna kamapeni huwa inafanyika kila mwaka madaktari wa kinywa na meno wanapita mashuleni kutoa elimu kwa watoto,mara nyingi huambatana na kufundishwa namna ya kutunza meno na kupewa dawa na miswaki.
 
Ujinga wa hao jamaa ni upi...wewe umetumia kigezo au kipimo gani kuwaita watu wajinga.....!??

Kwani haiwezekani hiyo dawa kupandikiza hivyo vichocheo.......??

Usijifungie kwenye box la fikra zako...Dunia haishii mwisho wa mawazo yako.....

Kwa Dunia ya Sasa hayo yote yanawezekana.....
Kichocheo kimfanye mtu awe shoga???, msagaji??How?
 
Hahah kanikumbusha habari za nyonya damu miaka ya 90's,tuliwah kimbia shule darasa la kwanza kisa gari la msalaba mwekundu lilipokuja shuleni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli usemwe mitandao ya kijamii imekutana na idadi kubwa ya watanzania wajinga,faida ni chache kuliko hasara.
 
Back
Top Bottom