shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,158
Fluoride kivip inaharibu hormones zitakazotunzwa kweny dawa?Packaging yake, itafanyika vipi ndani ya dawa ya meno,tunajua hormones zinatunzwa kwenye joto fulani,kwa mfano oxytocin hormone huko mahospitali inatunzwa kwenye frigi mana joto la kawaida inaharibika, insulin pia vivyo hivyo inatunzwa kwenye frigi,niambie hizo hormones zitakaaje kwenye dawa ya meno tena yenye floride na kemikali nyingine, kwenye mazingira ya joto la nyumba bila kuharibika?
Je fridge ndo kitu pekee kinatoa baridi.Hakuna other means?
Note: Sisemi Kuna hormones za ushoga na usagaji but anything it's possible.
NAPINGA WATOTO KUPEWA KITU CHENYE WARNING YA WEKA MBALI NA WATOTO.