ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
- Thread starter
- #61
Ndo ujue kwamba TZ ujinga bado ni tatizo achilia mbali,maradhi, umasikini,na unafiki.INASIKITISHA SANA
Ndo ujue kwamba TZ ujinga bado ni tatizo achilia mbali,maradhi, umasikini,na unafiki.INASIKITISHA SANA
Watanzania Elimu haiwasaidii mkuu kama watu walitoa wagonjwa hospital na kuwapeleka kwa Babu huwezi kuwaeleza kitu chochote mimi sikuwepo narudi naona magari eti yanaelekea huko kwa Babu nikashangaa sana...Vipandikizi gani,hebu nielezee mechanism of action mpaka mtu ana brush meno then instantly anakuwa shoga au msagaji...labda mimi sijui chochote.
Na huo Ujinga ndio mtaji wa Serikali kuendelea kuongoza maana huwa nasema hata ile Sensa wangeweka sehemu ya wajinga ni wengi sana kama wajinga wanaweza kutapeliwa na Kalyinda,kesho watakuja Deci keshokutwa Mr kuku hao watu waangalie tuu na ukiwapa Elimu wao wanakuona wewe ndio Mjinga kwa nini haupo DECi wakati wao wanavuna...Ndo ujue kwamba TZ ujinga bado ni tatizo achilia mbali,maradhi, umasikini,na unafiki.
Umenikumbusha na hii kitu aisee,ujinga tangu zamaniWatanzania Elimu haiwasaidii mkuu kama watu walitoa wagonjwa hospital na kuwapeleka kwa Babu huwezo kuwaeleza kitu chochote...
Sawa aya na ww toa ufafanuz wako tuone pia biology aifanyi uelewe hvo vitu kaka kama ujatak kujua zaid ila SIKULAZIMISH KUJUA ILA MM MWENYEW SIJUI NDO MAANA NAITAJIKUJUA ZAIDI.pia kumbuka unaweza ukaoneshwa picha ambazo zinaweza kuathiri pia mfumo wako wa homon syo lazima kitu ulicho kizoea kumbuka ata strees znaweza dhoofisha mfumo wako wa homonAcha uongo mkuu,mimi pia biolojia nimeisoma na nimeielewa hakuna kitu kama hicho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti ukiwapa elimu wanakuona wewe ndio mjinga,.....nimekubali kabisaNa huo Ujinga ndio mtaji wa Serikali kuendelea kuongoza maana huwa nasema hata ile Sensa wangeweka sehemu ya wajinga ni wengi sana kama wajinga wanaweza kutapeliwa na Kalyinda,kesho watakuja Deci keshokutwa Mr kuku hao watu waangalie tuu na ukiwapa Elimu wao wanakuona wewe ndio Mjinga kwa nini haupo DECi wakati wao wanavuna...
mkuu?Hormone siyimo harmony.
Lakini TBS wamekanusha,and yet wanasema wanazidi kuchunguza. Sasa huko ni kukanusha kwa aina gani?
Na kwa kuwa wamedumaa ubongo wanaamini kila wanachoongea wapo sahihi sana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti ukiwapa elimu wanakuona wewe ndio mjinga,.....nimekubali kabisa
Sijui kuhusu hilo la Songea.....Mimi pia ni mjuvi wa sayansi, twende kisayansi,achana na hisia na dhana.
Sijui,lakini kama unasema hivyo nitaitafuta colgate.mkuu?
Hivi kweli unawaamini TBS?
HIVI kweli unaamini hii serikali inatupenda?
acha madktari watetee ugali wao hapa!
kumbuka sysytem inataka watu tuharibikiwe ili yenyewe ifanye biashara.
hivi unajua kuna sehemu dawa za meno zenye fluoride ni marufuku kutumia na hazipelekwi huko!
Labda uniambie kwenye hizo dawa wanaweka hormones gani, LH, Oestrogen,Androgen,FSH, Testesterone, Prolactin etc,wanaweka kwa kiwango gani,na athari yake ni ya muda mrefu kiasi gani,maana sio kwamba hizo dawa za meno za msaada watu watatumia mwaka mzima....hata athari (lengo) za dawa za uzazi wa mpango zinaishia pale tu anapoacha kutumia.Sawa aya na ww toa ufafanuz wako tuone pia biology aifanyi uelewe hvo vitu kaka kama ujatak kujua zaid ila SIKULAZIMISH KUJUA ILA MM MWENYEW SIJUI NDO MAANA NAITAJIKUJUA ZAIDI.pia kumbuka unaweza ukaoneshwa picha ambazo zinaweza kuathiri pia mfumo wako wa homon syo lazima kitu ulicho kizoea kumbuka ata strees znaweza dhoofisha mfumo wako wa homon
mkuu!Hawa wapumbavu wakiongozwa na Gwajima ndio waliopinga chanjo za COVID 19 huku watoto wao wakipokea chanjo zote za misaada kwenye vituo vya afya.View attachment 2573232
Kuna wakati watanzania mnatia huruma.....Kuna mtu aliwapigisha nyungu watu akidai ndiyo dawa ya Covid halafu Covid nayo ikapita nayo.
Nazungumzia kule Burundi.
Vipi Chanjo ilisaidia nini?Hawa wapumbavu wakiongozwa na Gwajima ndio waliopinga chanjo za COVID 19 huku watoto wao wakipokea chanjo zote za misaada kwenye vituo vya afya.View attachment 2573232
Kwahiyo kila mtu akibrush meno,anakula hormone au sio,atakula kwa muda gani,na hiyo dawa atakaa nayo kwa muda gani,hiyo hormones inajuaje sasa huyu ni mwanaume tumfanye awe shoga, au kuna dawa za meno za wanaume na wanawake.Sijui kuhusu hilo la Songea.....
Na naona ni kama watu kukosa uelewa wa program hiyo ya meno.
Tukija kisayansi sasa kama unavyotaka. inawezekana, since hormone ni chemical inawezekana kuingia ndani ya damu kama itaingia katika Digestive system, au Respiratory.
Kwahiyo mtu anayekuwa Neutral kuhusu hili yupo sahihi, na mawazo yake yaheshimiwe.
Kwani na wewe unamfahamu huyo jamaa?Kuna wakati watanzania mnatia huruma.....
Ujuaji ni mwingi alafu hakuna mnachofahamu.
Na hiyo fluoride ni kichocheo ninacho harib homon flan hiv mwilin,,, hata uzi wake ulisha wai wekwa apa jf....lakin sasa ndo hivo jaman nchi maskin znapitia changamoto flan hivi eavy sana na tatzo kubwa watu wanalinda matumbo na maslaimkuu?
Hivi kweli unawaamini TBS?
HIVI kweli unaamini hii serikali inatupenda?
acha madktari watetee ugali wao hapa!
kumbuka sysytem inataka watu tuharibikiwe ili yenyewe ifanye biashara.
hivi unajua kuna sehemu dawa za meno zenye fluoride ni marufuku kutumia na hazipelekwi huko!