Labda uniambie kwenye hizo dawa wanaweka hormones gani, LH, Oestrogen,Androgen,FSH, Testesterone, Prolactin etc,wanaweka kwa kiwango gani,na athari yake ni ya muda mrefu kiasi gani,maana sio kwamba hizo dawa za meno watu watatumia mwaka mzima....hata athari (lengo) za dawa za uzazi wa mpango zinaishia pale tu anapoacha kutumia.
Na je wanajuaje kwamba hizi dawa atatumia mwanamke so tuweke hormones hii ili awe shoga,na tuweke hormones hii ili awe msagaji....,Je kuvurugika kwa hormones kunafanya vipi mtu apate ushoga au usagaji.