MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,242
- 43,802
Ila msaada wa dawa ya meno wa kazi gani? wamekosa cha kutoa?
Na wajinga wakiwa wengi sana,impact yake ni kubwa kama hivi, niambie ni asilimia ngapi ya watanzania wataamini hii habari?,na je ni athari kiasi gani itakuwa imetokea kwa jamiii kwa kuamini hii habari.?Hawa wapumbavu wakiongozwa na Gwajima ndio waliopinga chanjo za COVID 19 huku watoto wao wakipokea chanjo zote za misaada kwenye vituo vya afya.View attachment 2573232
HatariNa wajinga wakiwa wengi sana,impact yake ni kubwa kama hivi, niambie ni asilimia ngapi ya watanzania wataamini hii habari?,na je ni athari kiasi gani itakuwa imetokea kwa jamiii kwa kuamini hii habari.?
Hii habari iko juu juu, ngoja nikueleze, sometimes huku nilipo madaktari wa kinywa na meno wanapita mashuleni kutoa elimu kwa watoto mara moja kwa mwaka,juu ya afya ya kinywa na meno,ili kulinda meno,so kinachofanyika mwisho wa siku watoa dawa na miswaki kwa watoto,ili kumfanya mtoto azingatie zaidi...hicho ndio wachokifanya.Ila msaada wa dawa ya meno wa kazi gani? wamekosa cha kutoa?
Delete namba yake au mna mambo ya maana huwa mnaongea?Nimekuta mtu ameweka status Whatsapp eti anasambaza habari hii kuokoa maisha ya watanzania
Wapandikize vichochezi katika Colgate ili iweje? Wakiamua kila kitu wanamaliza kwenye chanjo za watoto na vitamins, kama mnaweza pigeni vita watoto wenu wasipewe chanjo za hospital tuone kama watoto wenu hawajapukutika kwa measles na polio na vifua vikuu.Ujinga wa hao jamaa ni upi...wewe umetumia kigezo au kipimo gani kuwaita watu wajinga.....!??
Au umetumia maabara ipi kuthibitisha maoni yako na kuhalalisha ujinga wao??
Kwani haiwezekani hiyo dawa kupandikiza hivyo vichocheo.......??
Usijifungie kwenye box la fikra zako...Dunia haishii mwisho wa mawazo yako.....
Kwa Dunia ya Sasa hayo yote yanawezekana.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimetafakari sanaDelete namba yake au mna mambo ya maana huwa mnaongea?
Maamuzi yapo mikononi mwako[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimetafakari sana
Nimeshangaa sana, mtu aache kutumia chanjo, ambavyo ni njia rahisi ahangaike na dawa ya meno??,kwanza kwenye dawa za meno hormones zinakaaje, bora kwenye chanjo utasema ndio,... mana atleast zinahifadhiwa kwenye mazingira ya kumaitain uhalisia.Wapandikize vichochezi katika Colgate ili iweje? Wakiamua kila kitu wanamaliza kwenye chanjo za watoto na vitamins, kama mnaweza pigeni vita watoto wenu wasipewe chanjo za hospital tuone kama watoto wenu hawajapukutika kwa measles na polio na vifua vikuu.
Ujanja mwingi mbele giza
Watanzania tuna ujuaji wa kijinga sana, halafu hizo mambo hazijaanza leo mbona kipindi tupo primary school tulikuwa tunapewa whitedent,blueband,mafuta na dawa za minyoo na kichocho nk mbona hatujawa mashoga?Nimeshangaa sana, mtu aache kutumia chanjo, ambavyo ni njia rahisi ahangaike na dawa ya meno??,kwanza kwenye dawa za meno hormones zinakaaje, bora kwenye chanjo utasema ndio,... mana atleast zinahifadhiwa kwenye mazingira ya kumaitain uhalisia.
Mbona inawezekana dawa ya mswaki kuweka vimelea vuovyote vya madhara na wayu aubjamii lengwa ikaathirika, fungua mawazo mm kuna mzee wangu mmoja alipigwa sumu kwenye dawa ya mswaki aliv piga tu ikaanza kumtafuna taratibu ad kuja kureta effect kwenye figo na koo kuja kujua ni dawa ya mswaki ilikuwa ni too late, sasa kama watu wamepania jamii fulan kwanamna yyte wanaweza kui attack, kun namna watu wanaweza ku attack jamii ata kwa vipind vya tv waka ku brainwash....ko nenda taratib boss mkuu.Tunazungumzia dawa za meno mkuu,jikite kwenye mada husika.
Umezungumzia vimelea, habari imesema hormones!Mbona inawezekana dawa ya mswaki kuweka vimelea vuovyote vya madhara na wayu aubjamii lengwa ikaathirika, fungua mawazo mm kuna mzee wangu mmoja alipigwa sumu kwenye dawa ya mswaki aliv piga tu ikaanza kumtafuna taratibu ad kuja kureta effect kwenye figo na koo kuja kujua ni dawa ya mswaki ilikuwa ni too late, sasa kama watu wamepania jamii fulan kwanamna yyte wanaweza kui attack, kun namna watu wanaweza ku attack jamii ata kwa vipind vya tv waka ku brainwash....ko nenda taratib boss mkuu.
Nataka nikuelekez kitu kidog kuhus mmengenyo mmengenyo wa chakula uanzia mkono then mdomon then kwenye koo then tumbon alaf tumbon vina chukuliwa virutubisho kwenye tumbo vnapelekwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo kwenye hormon mbalimbali mwilin kusaidia ukuaji na maendeleo ya mwili.... Sasa ata kwa dawa ya mswaki inaezekana maana usifikili unapo piga mswaki amna maji maji yanayo penya kuingi ad tumboni nasio tumboni tu ata kwenye ngoz ata kwenye fizi mbado kuna vimelea vinaeza pita kuelekea moja kwa moja kwenye homoni usika mf why mtu anapaka mafuta ya kunenepa matako na ananenepa boss mkuu dunia ni kubwa hii.Vipandikizi gani,hebu nielezee mechanism of action mpaka mtu ana brush meno then instantly anakuwa shoga au msagaji...labda mimi sijui chochote.
Unakumbuka wale wataalam wa serikali walichomwa moto eti freemason. Yani hii nchiNa wajinga wakiwa wengi sana,impact yake ni kubwa kama hivi, niambie ni asilimia ngapi ya watanzania wataamini hii habari?,na je ni athari kiasi gani itakuwa imetokea kwa jamiii kwa kuamini hii habari.?
Kwahiyo vikifika huko kwenye hormones mbalimbali vinafanya nini ili mtu awe shoga au msagajiNataka nikuelekez kitu kidog kuhus mmengenyo mmengenyo wa chakula uanzia mkono then mdomon then kwenye koo then tumbon alaf tumbon vina chukuliwa virutubisho kwenye tumbo vnapelekwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo kwenye hormon mbalimbali mwilin kusaidia ukuaji na maendeleo ya mwili.... Sasa ata kwa dawa ya mswaki inaezekana maana usifikili unapo piga mswaki amna maji maji yanayo penya kuingi ad tumboni nasio tumboni tu ata kwenye ngoz ata kwenye fizi mbado kuna vimelea vinaeza pita kuelekea moja kwa moja kwenye homoni usika mf why mtu anapaka mafuta ya kunenepa matako na ananenepa boss mkuu dunia ni kubwa hii.
Yeah nakumbuka,hii nchi yetu ina vituko sana yani.Unakumbuka wale wataalam wa serikali walichomwa moto eti freemason. Yani hii nchi
Unakumbuka wale wataalam wa serikali walichomwa moto eti freemason. Yani hii nchi
INASIKITISHA SANA
Hawa walisema ni wanyonya damu
Kila kitu kwenye mwili wa bina damu kina kontroliwa na hormon husika mfano ukifanya kitendo au ukafanya jambo la kuleta madhara kwenye homon ya mfumo wa uzazi mf. Kwa mwanaume inaeza kukusababisha ukapungukiwannguv za kiume au umbile lako kupungua ko unapo enda hosp kutibiwa au kwa mtu lazima watibu homon husika iliyo sumbuliwa bila hivo ustegemee kuwa sawa, ko kama dawa hy ya msawaki imewekwa vimelea vya uchochez wa ushoga means vnaenda kuchochoe homon za kike kwa wing katka mwil wa kijana sasa kinachofuata apo ni bomu.Kwahiyo vikifika huko kwenye hormones mbalimbali vinafanya nini ili mtu awe shoga au msagaji
Acha uongo mkuu,mimi pia biolojia nimeisoma na nimeielewa hakuna kitu kama hicho.Kila kitu kwenye mwili wa bina damu kina kontroliwa na hormon husika mfano ukifanya kitendo au ukafanya jambo la kuleta madhara kwenye homon ya mfumo wa uzazi mf. Kwa mwanaume inaeza kukusababisha ukapungukiwannguv za kiume au umbile lako kupungua ko unapo enda hosp kutibiwa au kwa mtu lazima watibu homon husika iliyo sumbuliwa bila hivo ustegemee kuwa sawa, ko kama dawa hy ya msawaki imewekwa vimelea vya uchochez wa ushoga means vnaenda kuchochoe homon za kike kwa wing katka mwil wa kijana sasa kinachofuata apo ni bomu.