Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,715
- 45,114
Hapo vpHapa nadhani watu wanachangia kwa jaziba tu kwa sababu burigi haipo chato kama watu wanavyosema bali ipo mkoa wa Kagera
Hapo vpHapa nadhani watu wanachangia kwa jaziba tu kwa sababu burigi haipo chato kama watu wanavyosema bali ipo mkoa wa Kagera
Moron, burigi iko kagera hifadhi 5 za mkoa wa kagera ni biharamulo, burigi, kimisi, ibanda na rumanyika. Tanapa wanataka kuzihimalisha hizi mbuga watalii waongezeke kwa kuhamisha wanyama toka toka sehemu nyingine na kuwaweka kwenye mapori hayo. Kama walivyofanya kwenye kisiwa cha sanane mwanza. Wanyama wa Jamii mbalimbali kama swala, pundamilia walipandikizwa hapo.Mliokuwa mnapinga ujenzi wa airport Chato mnaona hiyo mambo?
Chato inaenda kugeuka Serengeti B
Unadhani ingekuwa inahamishika!.Jiwe ahamishie na bahari chato jamani Malori yamejaa kibao
Duh!! Naona Magu amewatapeli wanakagera mchana kweupe. Angalia hii picha kabla ya kupandishwa kuwa hifadhi
Hata mimi najua hivo ila kuna mdau kaleta hii picha imenichanganyaMoron, burigi iko kagera hifadhi 5 za mkoa wa kagera ni biharamulo, burigi, kimisi, ibanda na rumanyika. Tanapa wanataka kuzihimalisha hizi mbuga watalii waongezeke kwa kuhamisha wanyama toka toka sehemu nyingine na kuwaweka kwenye mapori hayo. Kama walivyofanya kwenye kisiwa cha sanane mwanza. Wanyama wa Jamii mbalimbali kama swala, pundamilia walipandikizwa hapo.
Unaelekea hali ya asili ya kanda ya kaskazini inamtesa SanaHuyu bwana ni mbinafsi na mchoyo kuliko maelezo, kila kitu kwao, teuzi zake nyingi ni watu wa kwao mpaka kichefuchefu
Pori la Burigi linaungana na hifadhi ya taifa ya BiharamuloBurigi iko Kagera Muleba ngara na Karagwe.
Soma hii habari hasa hapo katikati ya mistari mekunduDuh!! Naona Magu amewatapeli wanakagera mchana kweupe. Angalia hii picha kabla ya kupandishwa kuwa hifadhi View attachment 1125618
OK, naona Magu analazimisha mambo ila kijeografia burigi haipo chatoSoma hii habari hasa hapo katikati ya mistari mekunduView attachment 1125637
Na tunajenga chuo kikuu hapa Chato pia!
!
Tunataka Chato Iwe Jiji
Kwahiyo Burigi walikuwa wanahifadhi nini?Hiyo nimeshudia nikiwa pale KATORO niliona magari yamepakiza simba, watoto wa twiga, swala, ngiri poli
Mbona binadamu tunaamia Dodoma.
Wanyama kupelekwa Burigi imekuwa nongwa.
unaambiwa over 50% ya wakurugenzi wa miji wilaya na majiji ni kutoka Chato,Hakuna mtu mwenye master mzaliwa wa chato au anae ishi chato kwa maana ya chato kuwa makazi yake ya kidumu ambaye si mkurugenzi au RASHuyu bwana ni mbinafsi na mchoyo kuliko maelezo, kila kitu kwao, teuzi zake nyingi ni watu wa kwao mpaka kichefuchefu
mmmmhKina Jerry sasa wana hoteli Chato. Hii hoteli imejengwa baada ya kuwa Rais ama kabla?