Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

1125554
 
Kwa haya niliyoyaona kupitia hii video iliyopo mtandaoni,nakiri huyu mtu ni mbinafsi na anapendelea sana kwao kuliko hata hao wachaga.

Ubinafsi mwingine ni ule wa kutaka yeye tu ndio aonekane na kusikika na si mtu mwingine yoyote.,

Hakika ukitaka kujua tabia halisi ya mtu, ngoja mtu huyo apate pesa au madaraka.
 
Kuna vitu vingine ni vya ajabu na vya kipuuzi kuwahi Kutokea duniani
 
Mkoa wa kagera una mapori 5 ambayo yamebadilishwa na kupewa hadhi ya hifadhi ya wanyama toka mwaka Jana. Mapori hyo ni burigi, biharamulo, kimisi. Rumanyika n.k sasa HV wanaimplant species za wanyama tofauti ili kuvutia watalii na utalii
Tofauti na utali ni kuimarisha ulinzi, kwa maana ni marufuku kukutwa huko kama ilivyo maeneo ya jeshi!
 
Back
Top Bottom