Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

Kuna watu wanajua sana kutukana,siku wakihamishwa na wao sie tunawaangalia tu. Kwani mtu hauwezi kuchangia kwa busara?
 
Nimeona kwenye akaunti ya Jamiiforums kule Instagram

Maendeleo hayana chama. Kama Chato kama Dabai.
20190612_143350.jpeg
20190612_143309.jpeg
20190612_142944.jpeg
20190612_143145.jpeg
 
Mkoa wa kagera una mapori 5 ambayo yamebadilishwa na kupewa hadhi ya hifadhi ya wanyama toka mwaka Jana. Mapori hyo ni burigi, biharamulo, kimisi. Rumanyika n.k sasa HV wanaimplant species za wanyama tofauti ili kuvutia watalii na utalii
 
Back
Top Bottom