Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

Hapa nadhani watu wanachangia kwa jaziba tu kwa sababu burigi haipo chato kama watu wanavyosema bali ipo mkoa wa Kagera
Hapo vp
4ebee18ad2f8ad0826e94b5e3cbc9b34.jpeg
 
Mliokuwa mnapinga ujenzi wa airport Chato mnaona hiyo mambo?
Chato inaenda kugeuka Serengeti B
Moron, burigi iko kagera hifadhi 5 za mkoa wa kagera ni biharamulo, burigi, kimisi, ibanda na rumanyika. Tanapa wanataka kuzihimalisha hizi mbuga watalii waongezeke kwa kuhamisha wanyama toka toka sehemu nyingine na kuwaweka kwenye mapori hayo. Kama walivyofanya kwenye kisiwa cha sanane mwanza. Wanyama wa Jamii mbalimbali kama swala, pundamilia walipandikizwa hapo.
 
Sawa. Mwakani tukichukua nchi tunahamisha vyote jipongezeni kwa muda tu nyie wasukuma.
 
Moron, burigi iko kagera hifadhi 5 za mkoa wa kagera ni biharamulo, burigi, kimisi, ibanda na rumanyika. Tanapa wanataka kuzihimalisha hizi mbuga watalii waongezeke kwa kuhamisha wanyama toka toka sehemu nyingine na kuwaweka kwenye mapori hayo. Kama walivyofanya kwenye kisiwa cha sanane mwanza. Wanyama wa Jamii mbalimbali kama swala, pundamilia walipandikizwa hapo.
Hata mimi najua hivo ila kuna mdau kaleta hii picha imenichanganya
tapatalk_1560350772376.jpeg
 
Huyu bwana ni mbinafsi na mchoyo kuliko maelezo, kila kitu kwao, teuzi zake nyingi ni watu wa kwao mpaka kichefuchefu
unaambiwa over 50% ya wakurugenzi wa miji wilaya na majiji ni kutoka Chato,Hakuna mtu mwenye master mzaliwa wa chato au anae ishi chato kwa maana ya chato kuwa makazi yake ya kidumu ambaye si mkurugenzi au RAS
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom