Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Wewe usikiagi watu wanavyolalamika, [emoji16][emoji16] mie najua tangu tunaanza mahusiano akificha sahizi si ndiyo najua kuna madudu, kuna siku nilienda bank mdada katoa card muhudumu kauliza hii account ya nani akajibu eti hivi kuna watu wanaweza kuaachia wake zao watumie account zao kweli tena dollar si amini, mpaka kaenda kuangalia huko ndani kaja anacheka duu kuna watu wanauaminifuMmewekeana password na mumeo????[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
aiseee!