[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewe kama nakuona vile kwa uongoDah itakuwa wakati yupo kwenye daladala za gongo la mboto dereva akaminya break kwa gafla ndio mdada mdomo wake ukaja kwenye shati
Huyo atakuwaa mjinga hamna mwanamke ambaue ni mjinga kiasi hichi ilaa mijanaume ndo hiwa inarudi miboksa ina michoro kibao ukiuliza utasikiaa nilikuwa nakuwaza ww yan wajingaa saanaNa nyie mnaporudi nyumbani toka kazini na chupi zimelowa shahawa, mnafikiri sie tuna mioyo ya chuma?
Pole asee but inabidi uangalie shda iko wap..kwako mwanamke ama mwanaume ama nyote wawiliUnamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.
Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Ndivyo walivyo Hawa watu hawanaga haya haya chembe,,kuna wale ambao wake zao wakisafiri tu wanaleta michepuko hadi nyumbani looh hapo mwanamke cjui unakua na moyo gani jaman wanaume muwage mnatuhurumia na sisi ni binadamu tuna mioyoUnamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.
Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Atajibu nin zaidi ya kukudanganya mkuu,,kama ndo mbabe ataishia kuleta uwanaume na ukali tu,,mwingine ataishia kunyamaza kimya bila kutoa jibu hapo bora upige kimya tuPole sana mama, samehe. Ila muulize hiyo lipstick imefikaje maungoni kwake?
Mi kwa jinsi ninavyozidi kuchepuka,ndio mapenzi yanavyozidi kwa mke wangu!Sasa ukichepuka si ndo umeshamvunjia heshima
Hakuna cha mke kuringa ni tabia tu kama tabia nyingineMatatizo yote haya yanaanzia kwa mwanamke, unaringa ringa kutoa home, unatoa kwa nyodo, jamaa hakati kiu... Anaenda mtaani, anakutana na full vishawishi, full mitego... Ananasa.... Wanawake wenyewe siku ni maji mara moja.....
Hahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo atakuwaa mjinga hamna mwanamke ambaue ni mjinga kiasi hichi ilaa mijanaume ndo hiwa inarudi miboksa ina michoro kibao ukiuliza utasikiaa nilikuwa nakuwaza ww yan wajingaa saana
Wengine haya hizo heshima hawana mkuuKuchepuka hakukwepeki Mkuu,jambo la msingi ni kumuheshimu Mkeo tu!
Mmmmmm labda hongera mkuu nampa kongole mkeo kapata mme mwaminifuSi kweli, mimi sijawah kuchepuka namuheshimu mke wangu
AiseeeWanaume ndivyo walivyo ila wakiwa humu wote wanasema wanawapenda wake zao
Nashindwaga kuelewa wanaochepukaga ni akina nani, au wanaume wa jf hawacjepuki??Wanaume ndivyo walivyo ila wakiwa humu wote wanasema wanawapenda wake zao
DuuhNdivyo walivyo Hawa watu hawanaga haya haya chembe,,kuna wale ambao wake zao wakisafiri tu wanaleta michepuko hadi nyumbani looh hapo mwanamke cjui unakua na moyo gani jaman wanaume muwage mnatuhurumia na sisi ni binadamu tuna mioyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mambo ya wanaume jamani almost yanafanana kabisa yani huyu alojibu hivi ni wakwangu kabisaaHuyo atakuwaa mjinga hamna mwanamke ambaue ni mjinga kiasi hichi ilaa mijanaume ndo hiwa inarudi miboksa ina michoro kibao ukiuliza utasikiaa nilikuwa nakuwaza ww yan wajingaa saana