Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Tena huyo ndiyo mbaya kabisa asiye heshimu hata nyumba anayoishi na mkewe, kwa maisha haya ya kiswahili unaingiza mchepuko kwa kitanda cha mke duu tabia mbaya kabisaNdivyo walivyo Hawa watu hawanaga haya haya chembe,,kuna wale ambao wake zao wakisafiri tu wanaleta michepuko hadi nyumbani looh hapo mwanamke cjui unakua na moyo gani jaman wanaume muwage mnatuhurumia na sisi ni binadamu tuna mioyo