Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Hao hao wenye wake wengi ndiyo hutangulia kufa na kuwaachia marafiki zao wafaidi wajane wake
Wanaume wenye wake wengi ndo hufa mapema zaidi kwanza nguvu tu za kuwaridhisha wote si ndogo hafu, wengi huzaa watoto wasio wao, maana inabidi mchepuko nao uwe na chain ki maradhi hamna kupona
 
Wewe usikiagi watu wanavyolalamika, [emoji16][emoji16] mie najua tangu tunaanza mahusiano akificha sahizi si ndiyo najua kuna madudu, kuna siku nilienda bank mdada katoa card muhudumu kauliza hii account ya nani akajibu eti hivi kuna watu wanaweza kuaachia wake zao watumie account zao kweli tena dollar si amini, mpaka kaenda kuangalia huko ndani kaja anacheka duu kuna watu wanauaminifu
Sioni shida kumuachia mke wangu kadi ya bank akatoe hela ambayo tunakuwa tumeshakubaliana kwaajili ya malengo fulani. Simu yangu ashike aichezee atakavyo hata kama atakuta chochote atachoona kina ukakasi majibu nampa na anaridhika nayo. Mkiishi kwa kupendana raha sana kwasababu hata mkipishana ni rahisi kurekebishana na kuwekana sawa.

Ujana kazi kweli kweli.
 
Lazima kuna tatizo kwenye hiyo ndoa, siyo rahisi kumfanyia hivo mkeo kama mambo ya shwari tu
Yaani ni wengi na wala hakuna tatizo lolote kila kitu kina kuwa sawa bali tamaa tu hizo
 
Ukweli mchungu lol!!! Kila lakheri




Cc Smart911
Asante kwa kuelewa mpunguze kutusema as if nyie hamkosei, hatujaumbwa kama nyie acheni tujilie papuchi bhana.

Sasa dyudyu zenu sie tunamwaga kisha inaoshwa safi kabisa kwa kazi nyingine sasa nyie mnamwagiwa makohozi kwa papuchi afu urudi nayo home tutumbukize vitombeo vyetu kweli???? please tuoneeni huruma waume zenu.
[emoji137][emoji137][emoji137]
 
Lazima kuna tatizo kwenye hiyo ndoa, siyo rahisi kumfanyia hivo mkeo kama mambo ya shwari tu
Bro kuna bahati mbaya. Si unajua mambo ya daladala hapa town
 
Utakuta kila kitu anafnyiwa, kuna mbaba hivyo hivyo mke mzuri kweli lakini anahangaika siku mke kachoka, nikwambiavyo sahizi huyo baba ukimwangalia hata haeleweki mke anamaisha yake safi, mbaba kaolewa yupo kwa mwanamke hata watoto wake anashindwa kukaa nao
Aiseee
 
Yan wanaume hta akili zao cjui znkaa wapi mna wanakua hawaelewki wanatka mtu wa aina gani unakuta mwanaume mke wake ana chura lakin ataenda kuchepuka na asie na chura. Mwngine wake hna chura ataenda chepka na alie na chura yani hawaelewki hasa wanapnda nini na unkuta mke wake ndani anamjali kwa kila anchosema. labda wseme wnyewe wanatka nin
Punguza ukali.

Hivi unajua wali maharagwe unachosha? Lazima uende kutafuta chakula kingine
 
Hahaha nafurahiaga hicho kipengele mtu akiachwa na mchepuko hahaha wooii,,utadhani katiwa pilipili kwe kichwa kidogo maana jicho nafuu
Mwenzangu acha sasa ukute anahudumia kumbe mchepuko nao una ampendaye kwake ni ATM wanaliaga hao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom