Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,171
Hata wazungu wanachepukaPole dada.. Hao ndio wanaume wa kiafrica
Hata wazungu wanachepukaPole dada.. Hao ndio wanaume wa kiafrica
Sio wote wengine tumetulia na wake zetuWanaume huwa hawaridhiki wana funza kwenye madushe yao huwa zinawasha kukunwa kunwa hawaridhiki na mwanamke mmoja
Sio woteMwanaume ni kiumbe ambae ana matamanio mnooo!!!yaani akitamani atafanya hata mkewe 99%perfect!
Ni kuwavumilia tuu ndugu yangu!ukitaka wa kwako peke ako labda umbumbe mwenyewe!
Ila huyu wa Sir God tutashea tu!!!
Toba!Mwanaume ni kiumbe ambae ana matamanio mnooo!!!yaani akitamani atafanya hata mkewe 99%perfect!
Ni kuwavumilia tuu ndugu yangu!ukitaka wa kwako peke ako labda umbumbe mwenyewe!
Ila huyu wa Sir God tutashea tu!!!
SawaSio wote
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.
Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Ngoja waje kumwaga mapovu hapaMatatizo yote haya yanaanzia kwa mwanamke, unaringa ringa kutoa home, unatoa kwa nyodo, jamaa hakati kiu... Anaenda mtaani, anakutana na full vishawishi, full mitego... Ananasa.... Wanawake wenyewe siku ni maji mara moja.....
Ndio kwani uongoToba!
Dhaifu au rijali
Sasa ukichepuka si ndo umeshamvunjia heshimaKuchepuka hakukwepeki Mkuu,jambo la msingi ni kumuheshimu Mkeo tu!
Si kweli, mimi sijawah kuchepuka namuheshimu mke wanguWanaume ndivyo walivyo ila wakiwa humu wote wanasema wanawapenda wake zao
Basi tusamehewe bure jamani!Ndio kwani uongo
Pole sanaMipumbavu sana most of them
Yamekuwa haya tena?Mipumbavu sana most of them
Nimeguna kwa sauti kuuuSi kweli, mimi sijawah kuchepuka namuheshimu mke wangu