Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,840
- 7,756
UmemalizaNyinyi ndio mnatuvalia vimini na pedo pusher mara skin. Sasa sisi tuna miili wala sio vyuma. Law of magnetic lazima ichukue nafasi
UmemalizaNyinyi ndio mnatuvalia vimini na pedo pusher mara skin. Sasa sisi tuna miili wala sio vyuma. Law of magnetic lazima ichukue nafasi
Eti wanaume wa kiafrika! Hivi hamsomi na kuangalia news, wanaume hao wa kwenye movie, wanaume wote sawa, tabia ya mwanaume haiangaliwi Kwa rangi yake.Pole dada.. Hao ndio wanaume wa kiafrica
Wakati mwingine mademu wanatuwekea makusudi, ndio maana mi nikiwa job nawapa mkono tu Kama raised wa North Korea,Pole sana mama, samehe. Ila muulize hiyo lipstick imefikaje maungoni kwake?
Pole zombi, lazima utakuwa mmoja wao .. Acheni tabia zenu mbayaEti wanaume wa kiafrika! Hivi hamsomi na kuangalia news, wanaume hao wa kwenye movie, wanaume wote sawa, tabia ya mwanaume haiangaliwi Kwa rangi yake.
Hahaaa si unatizama pembeni kwani lazima uangalie [emoji23][emoji23][emoji23]udhaifu wetu unasababishwa na hiyo minduku mnavyoitepesha na kuitingisha kama hilo li mahondaw hapo tako kama kiboko hugo
Ili afanye mme bwege au unamaanisha nini [emoji41][emoji41][emoji41]ukiona hivo kimbilia kwa waganga anti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbinu mbadala nini hiyoHatahivyo wanawake hawatuwezi kutuhudumia kama tunavyo taka unakuta mtu unataka mechi mara nne kwa kila wiki mtu anaanza kuzuga sebuleni weeeeeeeee kisa anajua akiingia chumbani tu kaliwa.
Am getting mad.
MmmmmmmHahaha pole mkuu hii njia wengi wanaitumia tena kuzuga kabisa hapo unajua ukiingia tu ndani umetiwa dudu
Biashara matangazo, lakiji hamna mkuu wengine ni maumbile tuok kama huvai chupi basi tembea kwa adabu au kwa heshima sio unatingisha hadi balaa mtaani wanaume tunaumia tena sana ,ujue mnatingisha kwa makusudi ili biashara ipate mteja
Huyo atakuwaa mjinga hamna mwanamke ambaue ni mjinga kiasi hichi ilaa mijanaume ndo hiwa inarudi miboksa ina michoro kibao ukiuliza utasikiaa nilikuwa nakuwaza ww yan wajingaa saana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] maisha haya jamani, ukitaka kucheat mfikirie na mkeo ukiona anakufuta fuata embu muda huo mwitetatizo hata tukikwepa mtajipitisha hata mara mia tena mnatufata mpaka kazini au nyumbani.
Akishakuwa hivyo halafu ndiye anaanza kuchepuka bila hata uoga [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kabisaa yaani amloge ili mme awe anakubali kila kitu hata kukaziwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiwewe ni maumbile tu bwana wewemnazungusha matako kama mpira wa miguu.
Nyie ndiyo wakwanza kusema wenye mzigizo akili zao huishia huko, kwahiyo mnaoa flat screen iweje mhangaike huko nje? Oa basi kwenye msabwanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tatizo mke hana mkia mzito kama wako.,hata mke wangu akija ule mzuka nilioupata haushuki tena hapo ni kazi moja tu
vitu vya kawaida hivyo kwa Mwanaume mbonaa, cha msingi amuombe Mungu tu mmewe arudi kwenye mstari na kama kuna mapungufu ayarekebishe otherwise mwanaume mwenye pesa wengi wako hivyo ila Nyie wanawake ndio mnaongoza kuwatega ili upate kula pesa zeke huko nje.Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.
Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruiser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.