Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

vitu vya kawaida hivyo kwa Mwanaume mbonaa, cha msingi amuombe Mungu tu mmewe arudi kwenye mstari na kama kuna mapungufu ayarekebishe otherwise mwanaume mwenye pesa wengi wako hivyo ila Nyie wanawake ndio mnaongoza kuwatega ili upate kula pesa zeke huko nje.
Kwahiyo nawe unajua kama unategwa na wewe unakubali kutegeka!
 
Wanaume huwa hawaridhiki wana funza kwenye madushe yao huwa zinawasha kukunwa kunwa hawaridhiki na mwanamke mmoja
Dini inasema wanne kma uwezo upo,labda kwa wakristu ndio wanaweza kujibu swali lako
 
Wajinga sanaa
AIsee.... Sasa aliyekuowa ndo UNAMWITA MJINGA, wewe uliyeolewa naye uitweje? BY THE WAY, ANAYEACHIMWACHA MUMEWE KISA UJINGA HUO, HALAFU AKAENDA KUOLEWA NA MWANAUME ALIYEACHANA NA MKEWE KWA JMABO KAMA HILO HILO AITWEJE?
 
Wanaume huwa hawaridhiki wana funza kwenye madushe yao huwa zinawasha kukunwa kunwa hawaridhiki na mwanamke mmoja
Msipende kushindana na asili mtaumia. Ni sawa na kubisha au kushindana na ukweli kwamba ili Binadam akuwe kiumbo na akili anahitaji lishe ya chakula na mazoezi kidgo,sas wew unataka kusema chakula sio lazima hope umenielewa
 
Yan kama mbinguni kuna moto basi wanaume 3/4 wote wataishia huko. Halafu mnachepuka hata hamuwazi basi kutumia hata kinga, wala humpimi huo mchepuko. Hivi ukileta ukimwi ndani hasara ya nani??? Wanawake wengine ni mawakala wa shetani wapo kimaksudi kuvuruga ndoa za watu. Usipostuka utaishia kuwa maskini wa maisha yote.
 
Back
Top Bottom