Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Ukishaona janaume lina endekeza umalaya hilo tayari limeshachukua ticket ya umaskini. Wenzie wanawaza kuongeza kipato na maisha bora yeye anawaza atapata wapi k mpya! Life is all about what u put on ur mind!
 
Usiku si ulikuambia umechoka hutaki kufanya na asubuhi ukaamka mapema kama mimi why nione haya nikienda nje? Mnasababisha wenyewe
 
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruiser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.

Mwanaume bila kua na side chick maisha hayakwendi mama, ni kama nchi bila chama cha upinzani mambo hayakwendi
 
Pole zombi, lazima utakuwa mmoja wao .. Acheni tabia zenu mbaya
pole wewe ambae hujui dunia inavyokwenda, I speak from the experience, I have been around the world, kila mtu ana tabia zake, haijalishi anatoka wapi katika sehemu ya dunia hii wala rangi yake, huko mnakoamini watu wako vizuri kitabia kuna mambo ya ajabu sana, hayawekwi kwenye media tu, to be safe, just don't trust anyone based on his colour.
 
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruiser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Raha ya mme akupe presha kidogo(nimeepuka kusema akutie jambajamba maana kule Jukwaa la Siasa huwa tunagongeana 'likes')
 
kosa lake ni kutokumheshimu mkewe...mchepuko kama huo haufai......anapaste lipstiki...hafai....mtuvumilie jamani dada zetu......asili yetu....ndivyo tulivyoumbwa.......mjue tunawapenda ndio maana unalala nayo daily......
 
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruiser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Stop acting normal on bed.... be nasty utaona hadi ATM card yake anakupa. Hiyo ndo siri ya kunyimwa hivyo vitu
 
Au utakua ni mmoja wao unaetembea na Wanaume za watu umejuaje
 
Hizi ndoa zinatia huruma jomoni!ebu ngoja niendelee kuswampa..lipstic kwenye shirt tena mhh,unahitajika uwe na moyo wa chuma kwa kweli pole[emoji3]
 
Kwani uliolewa kuja kuosha vyombo, kufua au kupika ??? Fanya kazi yako vizuri na achana na kazi za Mdada wa kazi uone kama huyo mumeo atakuwa na mchepuko.
 
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruiser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Tulia msaidiwe majukumu mamaa, kwani tatizo nn?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wanaume huwa hawaridhiki wana funza kwenye madushe yao huwa zinawasha kukunwa kunwa hawaridhiki na mwanamke mmoja
Mwanamke mmoja anachosha, hasa anapokuwa goigoi kitandani. Waache watu wato**baně wewe kinakuuma nn?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wapumbavu kweli

my right to receive anything based in the blood of JESUS
 
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruiser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Nimecheka kwa sauti
 
Mwanaume ni kiumbe ambae ana matamanio mnooo!!!yaani akitamani atafanya hata mkewe 99%perfect!
Ni kuwavumilia tuu ndugu yangu!ukitaka wa kwako peke ako labda umbumbe mwenyewe!

Ila huyu wa Sir God tutashea tu!!!
Aah wapi ,ukikubali kushare,utashare na ukikataa hutashare!

Mi sitashare,ni kujua tu namna .....

Back
Top Bottom