Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Raha ya kuchepuka,uchepuke na Mke wa mtu pia,hakuna kusumbuana kila mtu analinda ndoa yake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo wake za watu ndiyo wazuri siku mwenye mke naye akijua hapo je!
 
Mwanaume ni kiumbe ambae ana matamanio mnooo!!!yaani akitamani atafanya hata mkewe 99%perfect!
Ni kuwavumilia tuu ndugu yangu!ukitaka wa kwako peke ako labda umbumbe mwenyewe!

Ila huyu wa Sir God tutashea tu!!!
Mi mbn tupo wa pekeako, tatizo mnamaindi matozi na ma brazameni.
 
Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.

Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruiser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Du! Kazi ipo.
Pole sana
 
Pole sana mkuu cha msingi jali heshima kwako na kama anajali familia kimatunZo
 
Mbinu za kuchepuka, mwenzenu anatongoza rafiki ya mkewe kumbe naye wamjini akamwingza kingi kamwambia mkewe si siku ya miadi kaingia mkewe katoa sifa zote kuja kumaliza kuwasha taa ni mkewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Angekausha tu maana huko ni kuharibiana ndoa!
 
Angekausha tu maana huko ni kuharibiana ndoa!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] alikuwa kazidi , kajitutumua weee kuja hamadi ni mkewe sijui alikuwaje uso wake!
 
LIVE A LIFE LIKE MUTHAPHAKKA AM GOING TO DIE.

ISHI MAISHA KAMA VILE UNAENDA KUFA SIKU SI NYINGI,

ENJOY MAISHA YAKO KWA KUWA NI MAFUPI MNO.

TUACHE USITUSUMBUE.

[emoji23] [emoji1]
 
Huwa najitahidi sana kumuwekea mazingira hata ya kutokuhisi tu kuwa nachepuka,nina kisimu changu hicho cha uchepukaji huwa nakiacha ofisini kabisa [emoji1] [emoji1]
Khaaaa wee jamaa ni noma[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom