Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

Mwanaume ni mumeo akiwa kwako tu akitoka nje sahau... ukianza kufatilia kila episode utakufa kwa pressure
 
Hatahivyo wanawake hawatuwezi kutuhudumia kama tunavyo taka unakuta mtu unataka mechi mara nne kwa kila wiki mtu anaanza kuzuga sebuleni weeeeeeeee kisa anajua akiingia chumbani tu kaliwa.

Am getting mad.
 
Dah itakuwa wakati yupo kwenye daladala za gongo la mboto dereva akaminya break kwa gafla ndio mdada mdomo wake ukaja kwenye shati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hatahivyo wanawake hawatuwezi kutuhudumia kama tunavyo taka unakuta mtu unataka mechi mara nne kwa kila wiki mtu anaanza kuzuga sebuleni weeeeeeeee kisa anajua akiingia chumbani tu kaliwa.

Am getting mad.
Hahaha pole mkuu hii njia wengi wanaitumia tena kuzuga kabisa hapo unajua ukiingia tu ndani umetiwa dudu
 
Hahaha pole mkuu hii njia wengi wanaitumia tena kuzuga kabisa hapo unajua ukiingia tu ndani umetiwa dudu
Acheni uoga mnatuuzi sana, usikunimuda wa story 2-3 na kupopoana tu sasa unazugazuga kwenye tv ili ukute nimelala iliiweje.

Tunasononeka sema basitu.
 
muhifadhi maungo yenu vizuri sio kuvaa vinguo vya ajabu ajabu,halafu siku hizi wengi wenu hamvai chupi ili matako yatetemeke,nibora mbakwe kila siku
Kama chupi inanikera niivae kisa we utategeka si ukichaa huo
 
Dah itakuwa wakati yupo kwenye daladala za gongo la mboto dereva akaminya break kwa gafla ndio mdada mdomo wake ukaja kwenye shati
hahaha kabisaa [emoji23][emoji28][emoji23]
 
Guys hakuna mwanaume asiyempenda mkewe. Ukitaka kujua anampenda akukute umelala kifuani kwake, ndo utajua mke wa mtu sumu
 
Back
Top Bottom