kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 518
Demiss sio wote!Wanaume huwa hawaridhiki wana funza kwenye madushe yao huwa zinawasha kukunwa kunwa hawaridhiki na mwanamke mmoja
Demiss sio wote!Wanaume huwa hawaridhiki wana funza kwenye madushe yao huwa zinawasha kukunwa kunwa hawaridhiki na mwanamke mmoja
Ujinga zaidi ni pale unapochomeka kitombeo chako kwenye nyuchi iliyotoka kumwagiwa shahawa na mwanaume mwingine na mbaya zaidi hujui..sad!Ila nyie wajinga zaidi, pale mnapopeleka papuchi/nyuchi zenu zikamwagiwa mishahawa huko alafu mkarudi nazo home eti tuchomeke vitombeo vyetu humo.
Kwahiyo unataka kusema ni ngoma droo?Ujinga zaidi ni pale unapochomeka kitombeo chako kwenye nyuchi iliyotoka kumwagiwa shahawa na mwanaume mwingine na mbaya zaidi hujui..sad!
Ndo hivyo mkuu. Haya mambo hayana jinsiaKwahiyo unataka kusema ni ngoma droo?
Mbona mi naridhikaWanaume huwa hawaridhiki wana funza kwenye madushe yao huwa zinawasha kukunwa kunwa hawaridhiki na mwanamke mmoja
Ushauri wako tafadhaliUnamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.
Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Hahaa aisee Noma SanaMaana huwa nikitaka mgegedo wa uhakika lazima niagize beki3 wangu, maana bandika badndua hatulali. Kama juzi tulilala saa10 usiku yeye kuamka anasema papuchi imevimba ila ananiambia tumalizie kamoja, basi tukapiga meshi ila hakuna bao lililotoka ilibidi tu tuache maana alikuwa kachoka balaa hana hata nguvu.
Kwakweli, kunawakati Mungu mwenyewe huchoka na kumuacha akatafute anachotaka huko na atakipata tuHaswa. Cha muhimu wewe kama mke ni kumwombea tu kama unavyomwombea mtoto wako asishikwen na tamaa
Utakumbatiwa vipi mtu ambaye hujamruhusu akukumbatiye?Tatizo ni Mwanamke Mwenzio ... Kuna wanawake Kazi yao ni kuharibu ndoa za Wengine. Li mwanamke linakuja Linajipendekeza Kukukumbatia Halafu kinaacha Lipstick yake makusudi nyuma ya Shati lako bila hata ww kujua
Hahahhahaha Haya salamu Zako nimezipataHi,
Namuomba huyo dada kwenye avatar yako nimsalimie
Sana tena ukute na rafiki yake naye ni wale wale anamtafunia mke taratibu na kwa ulaini kabisaWanaume huwa tunajiamini sana kuwa wake zetu hawachepuki,kumbe huwa wanafanya kwa usiri mkubwa sana,ni ngumu saana kumgundua mwanamke anayechepuka,huwa mnajifanya very innocent!
Uongo wa mchana kweupe kabisaYaaan unakuta boksa imechafuka miramani ukiuliza eti siku nzimaa nilikuwa nakuwaza ww
Basi hakuna kingine hapoHapo mnalea watoto tu shoga hamna ndoa
Naye hivyo anavyo kuchangamkia ukirudi kumbe naye katoka huko moyo safi ili usishituke na mapambio kwa juu wewe unawaza kushoto naye anawaza kulia hakuna wa kumlaumuKwa jinsi ninavyozidi kuchepuka ndio mapenzi yanavyozidi kwa Mke wangu!
Kama kawaidaKwahiyo unataka kusema ni ngoma droo?
Basi we ni malaika na si binadam nnaowaona kila sikuHahahhahaha Haya salamu Zako nimezipata
Kama upo mombasa wallahi nitakuja nikuoe harusi kubwa kuliko ya KIBAHahahhahaha Haya salamu Zako nimezipata