Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
Umenifurahisha sana![emoji23] [emoji23] [emoji2]Au wewe unasemaje Mkuu?
Umenifurahisha sana![emoji23] [emoji23] [emoji2]Au wewe unasemaje Mkuu?
Huwa najitahidi sana kumuwekea mazingira hata ya kutokuhisi tu kuwa nachepuka,nina kisimu changu hicho cha uchepukaji huwa nakiacha ofisini kabisa [emoji1] [emoji1]Unaweza ukawa huna hili wala lile lakini kitu kinakwambia pita huku au angalia huku unakutana na kitu usichokiamini katika maisha yako niambiye hapo anakosa imani na mme sasa hapo tarajia chochote toka kwake
Why cheating?!![emoji2] [emoji2] dahHilo siyo jambo zuri kabisa,Mke ni kipaumbele namba moja!
Hahaha,au ndio zile mchepuko anakuvuruga mpaka unatamani kumuhadithia mke!Akiamua kukuvuruga tu huyo mchepuko anakuvuruga tu na mke unamuona si mali kitu acha kabisa haya mambo unazani mchepuko hauoni fulusa unakuvuruga tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]za mwizi 39 ya 40 ikifika hutaamini siku hiyo mchepuko umepata dharula unakusakaHuwa najitahidi sana kumuwekea mazingira hata ya kutokuhisi tu kuwa nachepuka,nina kisimu changu hicho cha uchepukaji huwa nakiacha ofisini kabisa [emoji1] [emoji1]
Kweli kabisa Mkuu!Yaani nikumuomba Mungu atupatie watu sahihi, {si manungaembe na virukanjia}
[emoji2] [emoji23] una vituko!!Hahaha,au ndio zile mchepuko anakuvuruga mpaka unatamani kumuhadithia mke!
Hahaaa haaa wanavyohangaika unasikia watu wengine sijui wakoje kumbe umechunwa hukoHahaha,au ndio zile mchepuko anakuvuruga mpaka unatamani kumuhadithia mke!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kudadadekiiii!!!Huwa najitahidi sana kumuwekea mazingira hata ya kutokuhisi tu kuwa nachepuka,nina kisimu changu hicho cha uchepukaji huwa nakiacha ofisini kabisa [emoji1] [emoji1]
Mambo mengine hata hayaelezeki Mkuu,wakati mwingine ni tamaa tu, I love her but i can't stop cheating!Why cheating?!![emoji2] [emoji2] dah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Demiss sio wote!
Hahaha!Hahaaa haaa wanavyohangaika unasikia watu wengine sijui wakoje kumbe umechunwa huko
mpaka kope kulia unashindwa unabaki kujiuma uma tu
Tunapeana mbinu hizo Mkuu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kudadadekiiii!!!
Ahsanteee[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ulishawahi ona mtu anafanya kwa siri, siku linabumburuka ndoa chali anabaki anajilaumu laana haiishi kumpata kama huyo hakuna unabaki unavua kama kokolo tu linavyobeba kumbuka mke mwaminifu akichoka kumrudisha kwenye mstari nimkazi sanaMambo mengine hata hayaelezeki Mkuu,wakati mwingine ni tamaa tu, I love her but i can't stop cheating!
Raha ya kuchepuka,uchepuke na Mke wa mtu pia,hakuna kusumbuana kila mtu analinda ndoa yake!Ulishawahi ona mtu anafanya kwa siri, siku linabumburuka ndoa chali anabaki anajilaumu laana haiishi kumpata kama huyo hakuna unabaki unavua kama kokolo tu linavyobeba kumbuka mke mwaminifu akichoka kumrudisha kwenye mstari nimkazi sana
Mshauri aache siku kapata dhalula mke kamfuata kazini anakakuta kasimu anakila aina ya takataka hapo ndiyo atajua Mungu kamwe si mnafiki hata siku moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kudadadekiiii!!!
Ahsanteee[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa bwana!Mambo mengine hata hayaelezeki Mkuu,wakati mwingine ni tamaa tu, I love her but i can't stop cheating!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Raha ya kuchepuka,uchepuke na Mke wa mtu pia,hakuna kusumbuana kila mtu analinda ndoa yake!
Wakati mwingine Mkuu,tunachepuka kwa maslahi mapana ya familia!Mshauri aache siku kapata dhalula mke kamfuata kazini anakakuta kasimu anakila aina ya takataka hapo ndiyo atajua Mungu kamwe si mnafiki hata siku moja
Mbinu za kuchepuka, mwenzenu anatongoza rafiki ya mkewe kumbe naye wamjini akamwingza kingi kamwambia mkewe si siku ya miadi kaingia mkewe katoa sifa zote kuja kumaliza kuwasha taa ni mkewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tunapeana mbinu hizo Mkuu!