Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Anaweza kutumika lakini akiolewa anatukia kabisa, mwingine unaweza oa ambaye hajatumikaNifanye nisifanye kama mke ni mzinzi atafanya tu.Wanawake wenyewe tunaoa wakiwa wametumika na wanaume zaidi ya mia,mi ntawezaje kuzuia asichepuke_kama ni wakuchepuka atachepuka tu haijalishi mi nikoje.
akawa mbaya zaidi hata ya yule aliye tumika