Aisee,sijawahi kulifikiria hilo,umenifanya nipate mawazo ya ghafla!Naye hivyo anavyo kuchangamkia ukirudi kumbe naye katoka huko moyo safi ili usishituke na mapambio kwa juu wewe unawaza kushoto naye anawaza kulia hakuna wa kumlaumu
Kwanini lakin tulipiziane Mkuu,kwani Mumeo akichepuka na wewe lazima uchepuke?Kama kawaida
Hahaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]usimfanyie mwenzio kitu ambacho wewe hupendi kufanyiwa.Aisee,sijawahi kulifikiria hilo,umenifanya nipate mawazo ya ghafla!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unajua hufika kipindi mke anachoka na drama nikwambie kitu ukiwa na kona nyingi kuna vitu hupungua ndani huwezi tumikia mabwana 2 hata wale wenye wake wengi kuna 1 humpenda zaidi hakuna usawa hata siku 1Kwanini lakin tulipiziane Mkuu,kwani Mumeo akichepuka na wewe lazima uchepuke?
Wengine tuko smart sana kwenye kuchepuka hata Mke akiambiwa mumeo anachepuka anabisha kabisa kutaka kuandamana!Hahaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]usimfanyie mwenzio kitu ambacho wewe hupendi kufanyiwa.
Nikwambie kitu Mungu akiamua kuumbua kitu huweza amini, anaweza akajua na asikwambie naye akatafuta koroni kimya kimyaWengine tuko smart sana kwenye kuchepuka hata Mke akiambiwa mumeo anachepuka anabisha kabisa kutaka kuandamana!
Mke siku zote ni lazima apewe kipaumbele,mimi na uchepukaji wangu lakini sijawahi kutana na mchepuko ambaye labda anaweza akamzidi wife au akaleta kashkash kwenye familia![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unajua hufika kipindi mke anachoka na drama nikwambie kitu ukiwa na kona nyingi kuna vitu hupungua ndani huwezi tumikia mabwana 2 hata wale wenye wake wengi kuna 1 humpenda zaidi hakuna usawa hata siku 1
Hapo wewe lakini huku tunayaona mengi si umesoma mleta uzi gari lake zuri anapewa mchepuko akatanue nalo mke anatembelea kiberiti unazani hazipati? Kuna wengine hawezi kumuuliza mmewe chochote kwa jinsi alivyowekewa mipakaMke siku zote ni lazima apewe kipaumbele,mimi na uchepukaji wangu lakini sijawahi kutana na mchepuko ambaye labda anaweza akamzidi wife au akaleta kashkash kwenye familia!
Ni kweli kabisa unachokisema Mkuu!Nikwambie kitu Mungu akiamua kuumbua kitu huweza amini, anaweza akajua na asikwambie naye akatafuta koroni kimya kimya
Unaweza ukawa huna hili wala lile lakini kitu kinakwambia pita huku au angalia huku unakutana na kitu usichokiamini katika maisha yako niambiye hapo anakosa imani na mme sasa hapo tarajia chochote toka kwakeNi kweli kabisa unachokisema Mkuu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mke siku zote ni lazima apewe kipaumbele,mimi na uchepukaji wangu lakini sijawahi kutana na mchepuko ambaye labda anaweza akamzidi wife au akaleta kashkash kwenye familia!
Mume wa hivi ningekula nae one plate!!!Unamke mzuri nyumbani anakupikia na kukufulia. Lakini bila ya aibu una rudi na shati lenye lipstick, kwakuwa una guilty conscious unaliweka kwenye laundry basket haraka haraka usiulizwe.
Hivi mnafikiria wake zenu wana mioyo ya chuma?
Umenunua gari land cruiser mke wako wala hajaiendesha yeye na watoto umewaachia vitz. Lakini ukifika tu ofisini mchepuko wako ana chukua shangingi anapiga misele mjini mpaka jioni.
Akiamua kukuvuruga tu huyo mchepuko anakuvuruga tu na mke unamuona si mali kitu acha kabisa haya mambo unazani mchepuko hauoni fulusa unakuvuruga tuMke siku zote ni lazima apewe kipaumbele,mimi na uchepukaji wangu lakini sijawahi kutana na mchepuko ambaye labda anaweza akamzidi wife au akaleta kashkash kwenye familia!
Hilo siyo jambo zuri kabisa,Mke ni kipaumbele namba moja!Hapo wewe lakini huku tunayaona mengi si umesoma mleta uzi gari lake zuri anapewa mchepuko akatanue nalo mke anatembelea kiberiti unazani hazipati? Kuna wengine hawezi kumuuliza mmewe chochote kwa jinsi alivyowekewa mipaka
Au wewe unasemaje Mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nikumuomba Mungu atupatie watu sahihi, {si manungaembe na virukanjia}Hilo siyo jambo zuri kabisa,Mke ni kipaumbele namba moja!