kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #81
Hata kama nimekwambia nakaa mwenyewe haikupi mamlaka ya wewe kutaka kuja kwanguMkuu huna hoja. Mnakuwa mnaongelea nini mpaka mtu anakuuliza kama unakaa mwenyewe then unamwambia upo single, ni kitu ambacho wewe mwenyewe ume taka.
Kuhusu UGONJWA au NDUGU kuchelewa?Daaah pole mzee,hii inatokeaje,samahani lakini.
Habarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Wa hovyoNimeona maneno "HUMLIPII KODI" tayari nimehitimisha wewe ni mwanamke wa aina gani😁
Inasikitisha sanaMmmmh!
Sasa, atavuliwa ubingwa, na nani,wakati umesema upo single! Au, unadanganya!?Habarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Kwahiyo hata kama mahusiano yana wiki unamkaribisha?As long as he's mine,,akuje tu,awe analipa au halipi, mbona kwao tunaenda,,tuache uchoyoo wajameni aaaah
Na mlipa kodiSasa, atavuliwa ubingwa, na nani,wakati umesema upo single! Au, unadanganya!?
Sawa Umekubali..Sijakataa
Hoja ya msingi na ya Uzi huu ni wanaume kuwa wepesi kwenda nyumbani kwa wanawake kirahisi rahisi tu
So hizo reaction zingine zitunze kwa ajili ya mada itakayohusu Hivyo
Alaf kuna mmoja amekuja na stress anajibu hata kisichohusikaWanakuja kusema eti wanawake tuna roho mbaya dah! Ila wanaume😂🙌
Agiza kinywaji chochote nalipa.Wewe ukienda kwake umechangia nini?
Ndio maana nawaambie miaka yote vijana #usimuonee_mwanamke_huruma
Waambie wakome kabisa kutuchafua.Hakuna vidada vishezi kama vya kizungu, mambo ya kunasishiwa mimba ili upigwe chini utoe tu child support ni kawaida sana , wadada wa kimatumbi wapo vizuri mno bado hawajaharibika kabisa.
Wazungu ni washezi kinouma labda upate wale waliojikatia tamaaWaambie wakome kabisa kutuchafua.