Baadhi ya wanafunzi kutumia "Surnames" za makabila zisizo na staha ya Kiswahili haitaleta ukakasi wakija kuwa viongozi wa umma??

Niliwahi kusoma mahali flani' na jamaa somebody mwandu.. sasa kwa watu wa kusini wanaelewa nini maana ya mwandu...basi daah nilikuwa napata shida sana kutumia hilo jina kumuita maana ni tusi aisee
 
Yupo ninaemfahamu anaitwa Mchony*,yaani shida wakati wa kumtambulisha kwa wananchi.
 
Huku Manzese Kuna jamaa anaitwa "Kundugeni"
pia maeneo ya Buza nyama choma Kuna dalali anaitwa "Khamis Nguo gani" na mwingine Mtoro wa kufikia wa ma mdogo anaitwa "Dotto Mumewangu"
 
Mimi nilikutana na K Moto Mjapani, kulitamka nilishindwa lakini kwa lugha yao ni poa tu.
'Wanachama' wa chama chenye wafuasi wengi kuliko chama chochote hapa nchini ama tuseme ulimwenguni, utawaelewa tu kutokana na michango yao.

Hata kama haujawasikia siku nyingi,lakini kwenye mada 'pendwa' lazima waibuke ghafla bin vuu
!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah hatari sana...

Sipati picha wakiwa wabunge alafu ndio wapo bungeni... zile hoja zinazotolewa kwa jazba wakitajana majina kwa hasira na ukali...


Cc: mahondaw
 
Kwako Claus yuko dini moja na Fatuma? Au mwenzetu umejuaje dini za hao wahusika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…