Baadhi ya wanafunzi kutumia "Surnames" za makabila zisizo na staha ya Kiswahili haitaleta ukakasi wakija kuwa viongozi wa umma??

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,251
2,000
Halafu mnasema wasukuma hawajui kiswahili utaitaje majina km mboro,Mkundu na matako ukiwa una akili Timamu na unakijua vzr kiswahili
 

Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
17,024
2,000
Niliwahi kusoma mahali flani' na jamaa somebody mwandu.. sasa kwa watu wa kusini wanaelewa nini maana ya mwandu...basi daah nilikuwa napata shida sana kutumia hilo jina kumuita maana ni tusi aisee
 

BRN

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
1,319
2,000
Yupo ninaemfahamu anaitwa Mchony*,yaani shida wakati wa kumtambulisha kwa wananchi.
 

SPYMATE

JF-Expert Member
Apr 17, 2013
1,052
2,000
Huku Manzese Kuna jamaa anaitwa "Kundugeni"
pia maeneo ya Buza nyama choma Kuna dalali anaitwa "Khamis Nguo gani" na mwingine Mtoro wa kufikia wa ma mdogo anaitwa "Dotto Mumewangu"
 

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
5,459
2,000
Mimi nilikutana na K Moto Mjapani, kulitamka nilishindwa lakini kwa lugha yao ni poa tu.
'Wanachama' wa chama chenye wafuasi wengi kuliko chama chochote hapa nchini ama tuseme ulimwenguni, utawaelewa tu kutokana na michango yao.

Hata kama haujawasikia siku nyingi,lakini kwenye mada 'pendwa' lazima waibuke ghafla bin vuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
41,416
2,000
Daaah hatari sana...

Sipati picha wakiwa wabunge alafu ndio wapo bungeni... zile hoja zinazotolewa kwa jazba wakitajana majina kwa hasira na ukali...


Cc: mahondaw
 

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
9,908
2,000
Mbona majina ni ya dini moja
Hapo kuna ukakasi
Siamini ni majina yao bali kuna mbaguzi kayaandika kwa makusudi
Mbona hatujawahi kuyaona hayo majina zamani?
Babu yupi huyo anaweza kukubali jina lake likawa hilo miaka yote hii
Editing siku hizi na chuki zitalipeka taifa kubaya
Kwako Claus yuko dini moja na Fatuma? Au mwenzetu umejuaje dini za hao wahusika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom