Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,111
Madam, hunaga comment nyingine zaidi ya 'good'?Good
Madam, hunaga comment nyingine zaidi ya 'good'?Good
Fatuma Soda - Flat za urafikinilishawahi kusoma na mwanafunzi anayeitwa ''SODA MAJANI'' hili jina halitanitoka kamwe.
'Wanachama' wa chama chenye wafuasi wengi kuliko chama chochote hapa nchini ama tuseme ulimwenguni, utawaelewa tu kutokana na michango yao.Mimi nilikutana na K Moto Mjapani, kulitamka nilishindwa lakini kwa lugha yao ni poa tu.
Wakati kanda ya kaskazini maana yake ni baobab tree.Niliwahi kusoma mahali flani' na jamaa somebody mwandu.. sasa kwa watu wa kusini wanaelewa nini maana ya mwandu...basi daah nilikuwa napata shida sana kutumia hilo jina kumuita maana ni tusi aisee
Waziri Mkundu Akiongozana na DC Mboro wameweka jiwe la msingi la zahanati ya KigurunyembeJpm atumbua mkundu na mboro,vichwa vya magazeti vitasomeka
Asee
Unamuongelea nan "sa.lawa" auahahahahahaha dah! yani unazaliwa ukoo unaitwa mk.u.ndu???
japo sishangai nishawahi soma na mtu aitwa kumalija
Utamskia we matako nyamaza!Achilia mbali wakija kuwa viongozi...najaribu kufikiria huko shuleni wana maisha gani, si wananyanyasika sana na hayo majina jamani
Kwako Claus yuko dini moja na Fatuma? Au mwenzetu umejuaje dini za hao wahusika?Mbona majina ni ya dini moja
Hapo kuna ukakasi
Siamini ni majina yao bali kuna mbaguzi kayaandika kwa makusudi
Mbona hatujawahi kuyaona hayo majina zamani?
Babu yupi huyo anaweza kukubali jina lake likawa hilo miaka yote hii
Editing siku hizi na chuki zitalipeka taifa kubaya
Kwa hiyo hata wewe katika ndugu zako wapo wenye majina kama hayo?Kwako Claus yuko dini moja na Fatuma? Au mwenzetu umejuaje dini za hao wahusika?
Sent using Jamii Forums mobile app