Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,111
Haha lol eti nyege kabisaaYaani kuna majina ambayo hayana hata msingi. Nakumbuka nilienda field huko vijijini usukumani nikakuta mtoto wa darasa la nne anaitwa NYEGE. Sikukubali hadi nilienda kwa mama yake nikamuuliza kulikoni mtoto kumuita hivyo, akajibu eti, mtoto alilia hilo jina (mizimu) ilitaka aitwe hivyo ni jina la babu zake wa zamani.