Baadhi ya wanafunzi kutumia "Surnames" za makabila zisizo na staha ya Kiswahili haitaleta ukakasi wakija kuwa viongozi wa umma??

Kilembwe

JF-Expert Member
Aug 19, 2009
1,208
1,250
Kuhusu mengine sijui, lakini hilo MBORO ni common maeneo ya Kibosho-umbwe. Ndiyo maana ukicheki ni huyo dogo wa Umbwe primary ana hiyo surname.

Hata kaka zao wa sekondari kama Somsom wapo wanaotumia huo ubini. Wengine wamebadili toka Mboro kwenda Mboya.
Huyu Mboro kawaida huwa nawasikia wakiitwa Mboroo...hii hupunguza ukali wa jina hilo nafikiri kulikuwa na makosa ya kusahau kongeza hiyo "o" maana nasikia ni jina la ukoo huko Kibosho
 
Top Bottom