Baadhi ya wadada ni mizigo katika mahusiano!

Baadhi ya wadada ni mizigo katika mahusiano!

nakunika na kumkuna mwenzangu pia.. achana na hizo presha utakufa siku si zako...

siku yoyote toka sasa husistuke kuniona PM, namtafutie zengwe lolote nihamiektk kasri yako mrembo!
 
Samahani nitafute nikupe kasongo hii ni siri ya wadada wetu kuwapenda wacongo mpaka kuwalea
 
siku yoyote toka sasa husistuke kuniona PM, namtafutie zengwe lolote nihamiektk kasri yako mrembo!

hah hah come bebii come na nilivo na hasira za hamuu.. just come huu huu...
 
Tatizo la kuonja onja ndio linawasababisha wajue kufikishwa au hawajafikishwa
 
.....hahhahha....pole sana ndugu, dahh?! Eti anakwambiaje?! ....."hujamfikisha?!".... Anakuonea tu hapo, kila mtu anawajibika kwa 'safari yake' bana....🙂🙂🙂

#MosKwito !

This is epic moskwito.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hah hah come bebii come na nilivo na hasira za hamuu.. just come huu huu...

hapa ndo nnapopaota , mamizuka yananiwehusha ..kweli kila kibaka na chochoro lake ..yaani ni kama zali vile kudaka toto deko ujazo namna hii!
toka nijiunge JF leo ndo siku nnayofili faida ya hili jukwa!
 
Hivi umewahi kujiuliza , ni jambo gani ulilomfanyia mpenzi wako nae angalau akajihisi anathaminiwa?

Hata sex kujiongeza huwezi , ni kama nguo inayosubiri kupasiwa vile...eti 'hujanifikisha'..yaani...mizigo yote niibebe mimi..we kazi yako kunibip(credit nimetuma) na kunitumia mi-msg yako hiyo!

Mnakera sana nyie wenye hizi tabia!
mwanaume nae anahitaji zaid ya sex toka kwako!
mwanamke kama huyu akiachwa kuna kulaumiwa hapa wadau?

Hata nyie wanaume baadhi yenu mnakera, unampenda kijana lofa unamsaidia yeye naye badala ya kupambana anaanza kudeka....kazi ni kunywa supu ya pweza na kugegedana tuu...hana mbele wala nyuma zaidi ya kubom....tena anabom hasa....tena baada ya kukunyong'onyeza....nawe unajikuta unatoa Tu....ila mnatuboa....
 
We wachana na iyo mambo tazama kwanza kandanda sasa algeria inaongoza bao 3 korea 0 ni mapumziko sasa
 
Sometimes some people are addicted to a problem. May b for some reason u are addicted to such gals..
 
Hata nyie wanaume baadhi yenu mnakera, unampenda kijana lofa unamsaidia yeye naye badala ya kupambana anaanza kudeka....kazi ni kunywa supu ya pweza na kugegedana tuu...hana mbele wala nyuma zaidi ya kubom....tena anabom hasa....tena baada ya kukunyong'onyeza....nawe unajikuta unatoa Tu....ila mnatuboa....

mkuu nimekuelewa lkn kijana kama huyo bado hajajitambua pia huenda hana mapenzi ya dhati nawe
nafasi kama hiyo kwa mwanaume anayejua wajibu wake hawezi kuitumia kwa maslahi yake bianafsi
 
Back
Top Bottom